Airtel Free Internet (200mb) kila usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel Free Internet (200mb) kila usiku

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTAMBOKITAMBO, Jun 29, 2011.

 1. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio,mwanzoni nilidhani ni matapeli, kumbe ni kweli!!!!
  Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi!Suala ni kwamba sio lazima uongeze salio ndio upate hizo MB za bure!Cha msingi ni usijiunge na INTERNET BUNDLE yeyote na hizo 200mb zitakuwa zako kila usiku!!!!!!!
  We ikifika saa 6 usiku chomeka modem yako na line ya Airtel na fanya mambo yako!!!!!!!!!!!

  Arigato!

  Ukisaidiwa,gonga THANKS wajameni!
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mkuu ni ya kwl unayoyasema? coz mie nakumbuka offer kama hii ilishawahi kuepo na ilikuwa lazima uongeze salio ndio upate hzo mb 200... au wamejichangaya hao airtel na njia haswa ya kuwa trick ni ipi? sio kwamba na kupinga but bali nataka nijui zaidi how can this be possible
   
 3. N

  Nucho jr. Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yakweli ayo mkuu?...ngoja nijaribu leo
   
 4. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwani hiyo bonus bado ipo?
   
 5. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nilijaribu siku ya kwanza ikakubali,kesho yake nikaongeza salio ili nipige simu nlipoiweka kwenye modem salio likaisha baada ya dk 20 hivi
   
 6. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Safi sana...
   
 7. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo naitumia muda huu mkuu,nmekua naitumia tangu wiki iliyopita,nmeona sio vizuri kuwabania wana JF wenzangu!
   
 8. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nina line zangu 4 za Airtel,jumla napata 800mb kila usiku,maisha rahiiiiisi!Wakati unauliza,mi naendelea kuzitumia!Lol
   
 9. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Arigato gozaimashtaa!
   
 10. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahahahahahaaaa mkuu we ni mkareeeee
   
 11. Mwakijale

  Mwakijale Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hyo.. ngoja leo 9t nijaribu n then nitakupa fedback
   
 12. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  LMAO! aya bna
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Acha longo, mgongee thanx!!
   
 14. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe mpwa! ni kweli hii kitu imekubali.... ndio nashusha vijifile tudogo tudogo
   
 15. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #15
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yaani kwa maana hiyo tusilale tusubiri offer?
   
 16. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mkuu we ni kiboko, line nne? ulali? au ndio unakesha ukibadilisha line? teh teh teh! hata hivyo jana usiku nili enjoy kidogo kwa kupata net ya bure japo speed yake haifikiiya tigo ila cha bure ni bure tu...

  Aka hapa chini ni ka-speed uchwara ka-offer ya Hewa Tele


  [​IMG]
   

  Attached Files:

 17. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Siyo watu wote usiku wanalala, wengine usiku ndio muda mzuri kwetu kufanya kazi kwa utulivu zaidi.
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Domo arigatogozaimashita..... Wajapani wakikuona unavyo haribu lugha yao watakutoa ng'eu
   
 19. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Offer gani inamasharti magumu kiasi hicho, nitaongeza salio lakini offer yao siitaki kazi yangu mi sio mlinzi
   
 20. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #20
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Speed yangu ya kudownload ni mpka 180KB/s!Tena mi nashika 3g signal ya bar 1!!!!!!Cha bure raha wakuu,tehh tehh tehh!
   
Loading...