How To Become A Web Host

How To Become A Web Host

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
i want to run a web hosting business,
i need your advise,what is requirement.
thank you!
 
Very good idea! let us wait wajuvi kushushia mambo hapa!
 
Unaweza kuanza kwa kuwa reseller yaani unanunua parkage ya kama gb 10 toka kampuni fulani then wewe unauza kwa wenzako utapata faida kutokana na hiyo na unaweza pia kuwasiliana na tznic wanaweza kukufanya wakala wa kuuza tld za dot tz subiri wengine wachangie zaidi ntarudi baadaye ila hiyo niliyosema ndio rahisi zaidi kama uko tanzania
 
Dah aisee umenipa mchecheto mkuu!
 
kwani inaweza kucost ka shiling ngapi..ni hiyo kazi ya uwakala..
 
Jaman mimi bado cjawapa vizuri japo sio muuliza swali.Naomba ufafanuz vzur kuhusu swali husika hapo juu kwani hao tznic wanahususika na nini katika kuhost?Thanx
 
Unaweza kuanza kwa kuwa reseller yaani unanunua parkage ya kama gb 10 toka kampuni fulani then wewe unauza kwa wenzako utapata faida kutokana na hiyo na unaweza pia kuwasiliana na tznic wanaweza kukufanya wakala wa kuuza tld za dot tz subiri wengine wachangie zaidi ntarudi baadaye ila hiyo niliyosema ndio rahisi zaidi kama uko tanzania

ok,,shy naomba vilevile requirememnt kama zinaitajika
 
Back
Top Bottom