du,ulikuwa wapi? embu fuatilia apa.https://www.jamiiforums.com/downloadz/93637-huawei-unlocker.html
du,ulikuwa wapi? embu fuatilia apa.https://www.jamiiforums.com/downloadz/93637-huawei-unlocker.html
Mkuu may be i miss something here.
Labda ungeelezea pia kuichakachua vp na huko ulikosikia ni wapi coz kama ni swala ya kuifanya iwe inatumika kwa line yoyote tofauti na airtel bado halijapatiwa ufumbuzi na sio hapa 2 bali sehemu mbali mbali hiii na maanisha kuichakachua by FREE lakini kwa HELA inawezekana coz kuna software zinazofanikisha hio kitu lakini lazima uzinunue, au uzilipie kama DC UNLOCKER inafanikisha hio kitu lakini lazima ununue enough credits kuweza kui unlock.Nasikia watu wanakachua,namimi leo zamu yangu yakuchakachua!nivipi?
umesahau passwd zako? Kama unauhakika hujasahau paswd .toa betr ktk sm kisha subiri kwa muda kati ya dkk 10 na 20 .baada ya hapo jaribu tena kuingiza pswd zako.Jamani simu yng niliiwekea lock,leo najaribu kuunlock imegoma nifanyaje?