Habari,
Natumia moderm ya voda k3570-z but toka nimeanza kuitumia mobile connection ndo inakuwa connected wakati LAN connection haiwi connected.
Je hii haina effect kwenye internet speed.Naomba maarifa zaidi wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.