Re:wazee wa mjengo wa science& tech mnaonaje tukiomba page ndani ya jukwaa?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Mambo vp wajomba natumai mpo poa.jamani hili jukwaa naona linazidi kuwa pana zaidi.ukijaribu kuchunguza utaona mada kubwa zinazojadiliwa ni ama mambo ya computer au mambo ya simu. Na modem.japo hivi vitu vinauwiano wa ki matumizi na vinavyotegemeana.mimi nilikuwa na wazo tujadiliane tuone kama kuna umhimu wa kumuomba moderator atutenganishie kurasa iwepo page ya computer na iwepo ya mobile phone.ili member aweze kuingia sehemu anayoona atapata anachohitaji.mfano hapa kuna DOWNLOADZ ni sehemu ambayo mtu inamuongoza kujua anachokwenda kukutana nacho. Kama nipo sawa unga mkono kama sipo sawa eleza kwa nini. nawakilisha
 
i think i made that request just couple days ago! was told that they got many things at the moment, they will handle that later! :-(
 
ilikuwa kwa pm au kuna uzi.kama kunauzi weka link tupitie pitie.
 
Tatizo linakuja wapi sisi wenginetupo kote kote so ukiingia kwenye jukwaa unakuta kuna problem za simu na comp so una solve zote kwa wepesi.
 
Jombi omary salum
Tatizo linakuja wapi sisi wenginetupo kote kote so ukiingia kwenye jukwaa unakuta kuna problem za simu na comp so una solve zote kwa wepesi.
ni sawa tu mimi nilikusudia hasa kwa wageni ili isiwachukue muda mrefu kutafuta topic za aina flan ila kwa wataalam wanaweza kwenda popote kutoa somo kama ilivyo tu jf kwa ujumla wake.kuna majukwaa mengi ambayo guest huchagua analopenda na kuingia huko.
 
Jombi omary salum ni sawa tu mimi nilikusudia hasa kwa wageni ili isiwachukue muda mrefu kutafuta topic za aina flan ila kwa wataalam wanaweza kwenda popote kutoa somo kama ilivyo tu jf kwa ujumla wake.kuna majukwaa mengi ambayo guest huchagua analopenda na kuingia huko.
Nimekusoma mkuu
 
Mambo vp wajomba natumai mpo poa.jamani hili jukwaa naona linazidi kuwa pana zaidi.ukijaribu kuchunguza utaona mada kubwa zinazojadiliwa ni ama mambo ya computer au mambo ya simu. Na modem.japo hivi vitu vinauwiano wa ki matumizi na vinavyotegemeana.mimi nilikuwa na wazo tujadiliane tuone kama kuna umhimu wa kumuomba moderator atutenganishie kurasa iwepo page ya computer na iwepo ya mobile phone.ili member aweze kuingia sehemu anayoona atapata anachohitaji.mfano hapa kuna DOWNLOADZ ni sehemu ambayo mtu inamuongoza kujua anachokwenda kukutana nacho. Kama nipo sawa unga mkono kama sipo sawa eleza kwa nini. nawakilisha

Tatizo manguini ndio wamejaa humu jamvini
 
umesema la maana bt soon utaskia wa jukwaa la siasa wanataka page ya ccm,chadema,tlp etc
 
duh!! Hapo nikweli.ila sio mbaya maana jf ninaifananisha na serikali members ndo wananchi kwahiyo kila mtu anaweza akaomba kile anachoona kitamsaidia yeye pamoja na wengine.huko sirikalini utasikia watu tunataka umeme vijijini!!! Hapa sisi nao tunataka page ya mob na comp. Ila umenichekesha mno inamaana hata kule kwenye sheria nao wanaweza kuomba page zao.!!
 
Yan sio sheria tu,wa gosip nao watataka page tofauti,za wachezaji,waimba muzk(reggae),wa gosple,wa bongo fleva.... Alafu tukipewa page tofauti watakuja wa technologia ya auto-mobile,wakiwa wng wataomba page tofauti,ya scania,ya escudo,ya bajaji na nyngne kibao
 
Mambo vp wajomba natumai mpo poa.jamani hili jukwaa naona linazidi kuwa pana zaidi.ukijaribu kuchunguza utaona mada kubwa zinazojadiliwa ni ama mambo ya computer au mambo ya simu. Na modem.japo hivi vitu vinauwiano wa ki matumizi na vinavyotegemeana.mimi nilikuwa na wazo tujadiliane tuone kama kuna umhimu wa kumuomba moderator atutenganishie kurasa iwepo page ya computer na iwepo ya mobile phone.ili member aweze kuingia sehemu anayoona atapata anachohitaji.mfano hapa kuna DOWNLOADZ ni sehemu ambayo mtu inamuongoza kujua anachokwenda kukutana nacho. Kama nipo sawa unga mkono kama sipo sawa eleza kwa nini. nawakilisha
mkuu hapa unamaanisha zitengenezwe sub forums mbili za comp na mobile jumla subforums ziwe tatu na hiyo ya downloadz, kisha hili lililopo liwe changanyikeni yaani unapost chochote iwe gearbox, ndege inapaaje, vingamuzi nk. Naunga mkono hoja.
Pia ikiwezekana mods watafute utaratibu humu kuna thread zipo very useful waziweke sticky.
Na mwisho kuwepo na option ya kuongeza neno SOLVED katika heading ya thread kwa muuliza swali, mfano nimeuliza pc yangu inagoma hiki, nikipewa solution naikaondoa tatizo basi niwe na option ya kuongeza neno SOLVED katika heading ya thread yangu.
Nimaoni tu
 
Back
Top Bottom