Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

naomba kujua joomla ni nini na inafanyaje kazi,je kwa mimi ninayependa sana web designer itanisaidia nini?nini gharama yake?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:- Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia. Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Wale wote mnaopenda vitu vya chee sasa mtakoma. Wenyewe wamewashtukieni! July 7, 2011 8:39 AM PDT Top ISPs agree to become copyright cops by Greg Sandoval Some of the top ISPs, including...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam kwa wana JF wote! Ni kuwa wakati napiga simu,mpokeaji/receiver ananisikia kwa mbali/shida sana (i.e. sauti yangu inakuwa chini mno). Wakati huo mimi nakuwa namsikia vizuri sana! Inafika...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Nataka ku attach 100+MB file, natumia yahoo nifanyaje? Msaada!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
salaam wakuu,natumaini mambo ni shwari. Naomba msaada kuna rafk yangu jana kaibiwa blackberry bold yake,je is there any means kuweza kuitrack nakuirecover? Natanguliza shukran za dhati wakuu
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Nimesoma article kwenye link hii Ban PowerPoint! - Tim Worstall - It's All Trivial Or Obvious Except - Forbes inaonekana wazungu wanataka turudi kwenye flip charts. na most of them wanasema it is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Please kwa mtu yeyote anayejua ku Design online radio naomba msaada, am some how good in IT lakini kama kuna mtu atanipa starting point au location ambapo naweza pata resources please let me know!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni michango yenu, nina maswali machache juu ya e-learning kwa mazingira ya Tanzania. 1. Hali halisi ya matumizi ya e-learning kwa Tanzania ikoje kwa sasa? 2. Ni matatizo gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Laptop yangu, CPU imekufa haifanyi kazi kabisa, ukiwasha ile power light inablink mara kwa mara tena kasi na hakuna chochote kinachoonekana kwenye screen (monitor), hv kuna uwezekano wa kununua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina Iphone, sijui nimebonyeza nini imeanza kuonyesha herufi kubwa na icon kubwa kwenye screen, yani kama ume zoom out inakua shida kutumia msaada wadau
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale wanaotumia mac mimi nimeshachakachua os lion kutoka kwa the pirate bay unadownloadi na kuiweka kwa mac yako kwisha kazi kila kitu kinafanya kazi. Hii ni lile toleo la mwisho la developers...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau usiku wa tarehe 7th July 2011 nikiwa naangalia taarifa katika luninga TBC walikuwa wakionyesha mabanda na kuwahoji watumbalimbali. Kukawa na mkurugenzi anatangaza bidhaa zake moja ya...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Terrafugia Terrafugia's Transition roadable aircraft, shown here in an artists' rendering, has cleared regulatory hurdles that make it street legal. By John Roach A flying car is being...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
mods jana mmeongea na bbc kuhusu watu ku-hack jf mara 100 kwa siku tunaomba mtujuze wanafanyaje??nataka kuwa hacker na mimi nisumbue watu kwenye ulimwengu huu wa technologia
0 Reactions
16 Replies
3K Views
nimenunua line mpya ya tigo iliyosajiliwa nimeiwekea kifurushi cha wiki nikiiweka kwenye modem na ku connect inaniambia connection terminated. Tatizo kama hili linasababishwa na nini?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jama nilifanikiwa kufungua Blogspot yangu na nikafanikiwa kuiweka hewani ila sasa nataka nibadilishe blogspot (something.blogspot.com kama mfano) so naomba kwa anayefahamu anisaidie coz nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii wenzangu nahitaji msaada wenu ninapata message that my win 7 z not Genuine...... What should i do to get rid of this problem...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kwa hii Thread ya kiranja mkuu ni hatari usijaribu ukiingia ujue umeharibu computer yako!Mzee invisible hii mimi nilishaipata katika 4shared ninomatupu bora ufute hiyo thread kwani watakao...
1 Reactions
14 Replies
882 Views
Naomba msaada wakuu, nini run Internet business, msimamizi amekua akinipiga bao mbaya kabisa kuhusu mapato, nimeweza kumdhibiti kwenye maeneo mengi sasa tatizo nililonalo ni je? kuna software...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom