free web host company! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

free web host company!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by rosemarie, Jul 10, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nina website yangu nimeshaitengeneza nataka iwe online,kuna member mmoja alitutumia free web host Weebly - Create a free website and a free blog lakini nafikiri wanataka nilipe,
  mimi nataka kujaribu na kuona jinsi itakavyokuwa online,naomba kama unajua real free web host nipatie,thank you!
   
 2. D

  Developer JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Nenda http://www.dot.tk/en/index.html?lang=en
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
 4. D

  Developer JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  wataka maelezo gani,? itembelee na usome taratibu, pia take advantage of google.
   
 5. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Samahani rose,kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia post zako nyingi zina husu website. Kwani wewe carrier yako hasa ni nini? Nataka nitoe msaada wa hali na mali kwako maana umeonesha interest kwenye web design.
   
 6. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Achana na free IT services kuna matatizo mengi sana,kwanza mfano hiyo site hapo juu inakupa limited extension .tk,huenda unataka .com,.net au .org. Lakini kama ndiyo unajifunzia na siyo serious site we nenda uka Host hiyo site....!
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  chief mimi nipo hapa "Marketing Research, strategies, plans & highly effective campaigns"qualification zangu zipo kwenye marketing zaidi!
  lakini napenda kuwa self employed zaidi kuliko kuendelea kufanya kazi za mshahara,
  nataka kuform company itakayofanya kazi ambazo zinalipa na nimeona nikijikita kwenye web design,web hosting,isp,na vitu kama hivyo naweka kufanya biashara
  lakini naona inahitajika mtaji mkubwa sana,
  unaonaje?
   
 8. E

  Eng zambi Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 9. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Basi leo umesomeka,na mimi kama nilivyo kuahidi nitakuwa tayari kuku saidia kwa hilo. Kuhusu mtaji,IT ndiyo profesn pekee ambayo unaweza kufungua kampuni hata kama tnamtaji mdogo(just a computer). Mimi last year nili register firm yangu lakini siku pata customers ingawa nimetengeneza software kibao hadi mda huu. Lakini kilichofanya firm isi-run ilikuwa ni marketing,so kama we upo vizuri upande wa masoko basi IT firm yako itakutoa. Kuhusu web design ni simple sana ingawa ili umake machapaa inatakiwa ujikite kwenye web applications na baadae mobile app.na vyote hivi ni simple sana. Mhimu we ongeza bidii kwenye kuuliza maswali zaidi na ukitaka details zaidi check na mimi: chieflugina@gmail.com..... Mungu akujalie siku 1 niwe kwenye forum ambayo iko-designed na rose!
   
Loading...