MSAADA-Faxing!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA-Faxing!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Jul 10, 2011.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hey wakuu, najarbu kutuma fax kwa kutumia "All in One Printer" niliyonunua kwa ajili ya kazi zangu ndogondogo nyumbani; Iko connected tayari na Landline, configuration zote zimefanyika. Ngoma ipo kwenye Jinsi ya kutuma FAX tu! (Tusichekane jamani teh teh). Mtu ambaye anajua jinsi gani kutuma fax kwa hizi printer tujuzne.
  Thanx.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hiyp printer itakuwa imekuja na Software yake ya kufax, kama haijaja nayo nenda website ya manufacturer (HP etc) ingia kwenye support tafuta software yake.


  Kama umeshainstall software na bado hauoni kitu, jaribu kufanya kama unaprint document ila tafuta Fax kwenye kuchagua printers.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
Loading...