Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu hamjambo wote?,naombeni msaada wenu wa kimawazo na pia kiufundi nahitaji kuanzisha mradi wa kusambaza/kugawa chaneli mtaani ni nini ninachohitaji kuwa nacho ili niweze kuikamilisha master...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wataalamu wa IT naomba kufahamu hivi IPAD ndio kitu gani na kina kazi gani maana wanasema MH ZITTO ndio mmbunge wa kwanza kutumia bungeni na gharama yake ni shillingi ngapi?shukrani wakuu.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari jf.Nime uninstall firmware ya modem yangu tatizo linalopelekea modem kutoonekana ktk pc yangu.Kwa yeyote mwenye firmware hiyo naomba anifanyie attachment kwenye thread hii.Thnx
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Please kwa yeyote anayejua machine za kuprint mabango,graphics,kalenda,brochurers t-shirts katika size mbali mbali,plz naomba aniambie zinaitwaje na zinapatikana wapi hapa bongo. Pia kama kuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau natafuta iphone, kama kuna mwenye connection na hizi bizness anijulishe bei ya iphone 3gs na 4gs kwa hapa bongo na kwa nje ya bongo ninaweza kuagiza vipi.... naomba mawazo ni kwa jinc gani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii hasa wataalamu wa Computer. leo asubuhi nimewasha laptop yangu Dell Inspiron 1545, inawaka vizuri lakini baada ya sekunde kumi resolution inakuwa mbaya sana kiasi kwamba sioni kitu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu, kuna mshikaji ameniuzia Blackberry Bold, sasa nataka nisevu email adress yangu lakini nashindwa maana yeye alishasevu ya kwake, na yeye ameshakwenda ughaibuni bado...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Assalam alaikum wana jamvi nawatikieni ijumaa kareem na mfungo mwema wa ramadhani unaokuja,tafadhali naomba nipate jibu la swali langu jana nimetumiwa msg na line ya tigo kwenye simu yangu ya voda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau samahanini mie nashidwa kuelewa kuhusu kuhusu safari za baiskeli hizi mbili nnapokuwa naendesha kwenye vumbi naona mwendo unakuwa mkali afu naona nipo kasi ila nnapokuwa kwenye rami nahsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari waheshimiwa...kutokana na ujuzi wangu mac os nitofauti kabisa na ile ya microsoft..watu wa macintosh wana business philosophy tofauti ya ile ya microsoft. Wakati mac wakiwa wanataka to have...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani i just happen kusahau my memory card password.....so what shall i do to get access again to it....it has some of my important files.............PLEASE HELP ME GUYS, hw can i unlock wizaut...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
​Dear PayPal, its customers, and our friends around the globe, This is an official communiqué from Anonymous and Lulz Security in the name of AntiSec. In recent weeks, we've found...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Char-Be-Gone Clean your cooker without chemicals. The Grand Grill Daddy brush drizzles water from its handle reservoir, which the grill's heat turns into steam, helping loosen grease and...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
hi jf thinkers, jamani kuna m2 namjua hapa jirani yatu anatumia ttcl dek mobile ku accses internet free of charge yapata mwaka sasa, utalaamu huu ulifanywa na baadhi ya vijana toka dar ambao kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jamani msaada,nimeformat computer nimeinstall driver zote,lakini kila nikibonyeza helufi yoyote kwenye keyboard my computer inafunguka. msaada tafadhari
0 Reactions
0 Replies
819 Views
naombeni msaada wa dvd software burner nataka kuburn dvd nina laptop mpya haina hiyo softwire
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau naombeni mnisaidie ni jinsi naweza seti simu yangu aina ya samsung gt- c3303k ili niwe net online kote ata kwenye fec buku niwe ewani.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naombeni msaada wa software ya kuburn dvd
0 Reactions
0 Replies
753 Views
1.Kila ninapo tumia ubuntu computer yangu inachemka sana nilijaribu ubuntu9,ubuntu10.04,bongo linux zote bado zinaleta tatizo hilo hilo, tatizo ni nini? Naogopa sasa kuitumia nisije unguza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom