Uliza kuhusu Linux

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Welcome to the world of Opensoure. Plz watu wanahama kutoka kwenye takataka Windows. Plz kama kuna swali au tatizo kuhusu Linux mda ndiyo huu!
 
Mkuu juzi kati niliinstall ubuntu 11.04 lakini kutokana na lappy kupata matatizo ikabidi niiformat upya nikaitoa, soon ninampango wa kuirudisha niliipenda sana sema ilinisumbua kuistall evdo cdma modem yangu ya sasatel.
Hebu nipe ushauri ni version gani nzuri kwa beginer ili nianze nayo maana hii 11.04 inaonekana bado ngeni sana kwa wengi
 
Jombi hiyo kitu Sijawahi kuitumia kama unayo mkuu nitumie.
 
Welcome to the world of Opensoure. Plz watu wanahama kutoka kwenye takataka Windows. Plz kama kuna swali au tatizo kuhusu Linux mda ndiyo huu!
unaita windows takataka?naamini bila hyo wabongo wasingejua ku2mia cmptr,(hawatajua pia)!
 
Mkuu juzi kati niliinstall ubuntu 11.04 lakini kutokana na lappy kupata matatizo ikabidi niiformat upya nikaitoa, soon ninampango wa kuirudisha niliipenda sana sema ilinisumbua kuistall evdo cdma modem yangu ya sasatel.Hebu nipe ushauri ni version gani nzuri kwa beginer ili nianze nayo maana hii 11.04 inaonekana bado ngeni sana kwa wengi
Jaribu 10.04...ipo stable
 
Jaribu 10.04...ipo poa pia
 
Back
Top Bottom