Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Download Official, Original & Untouched Windows 7 with SP1 ISO (32-bit & 64-bit)...
3 Reactions
4 Replies
9K Views
Naomba mnisaidie kubadili hii moderm ya Tigo ili niweze kutumia Airtel.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Computer yangu ninapoitumia inaleta kijidirisha chenye ujumbe "there is no disk in the drive. Please insert a disk into drive" nisaidieni jaman
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni wiki sasa UDSM Mawasiliano ya simu kupitia mtandao wa Tigo imekuwa shida. Ombi kwa Mainjinia na Wamiliki wa Tigo kama huwa mnapita kwenye hizi foramu mfanye hima maana hali si shwari.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji msaada wa direct download link au active torrent ya Excess Tv tuner (200-500) driver.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naihitaji msaada wa game hii nimejaribu kuitafuta mtandaoni wananiambia nicheze online naihitaj niwe nayo msaada kwa mwenye nayo au ntaipata vp!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana naomba msaada wa software ya Pinaco studio na keys zake..any version ikiwa currently itakua vyema zaidi.. Unaweza kunipatia keys au crack na site ambayo naweza kupata hyo software...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
waku u leo nlikua natumia exteno yngu ya 640gb smsung gfla ikaanguka. adi saivi haisomi japo kita kinawaka. na kinchoniuma ni reports zangu,500movies na games zakutosha. naomba msaada jamani...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Niko kwenye hatua za katikati katika project yangu ya VIDEO ON DEMAND, kutokana na limit ya bajeti yangu nimeamua kufanya a -do-it-yourself type of project ili kusave, nachomaanisha ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Computer yangu haitoi sauti. Nikiangalia kwenye sounds and audio devices inaniambia "NO AUDIO DEVICE" Nikijaribu kucheza windows media player inaniambia "windows media can not play the file...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuna picha ambazo nimepiga ziko kwenye simu. sasa nikitaka kuzi apload aidha kwenye email au humu jf zinakataa kwa kuwa ni kubwa sana. MB 1 n.k. zile ambazo nilipunguza saiz ya kamera zina apload...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie kucrack password ya .7z archive file(yani compressed file lenye extension ya .7z).Nimedownload file la aina hii kutoka 4shared.com ambalo lina novel ya My Laugh Comes Last...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
In between these free mail services providers GMail, Yahoo Mail and Hotmail, who do you think has the best spam protection (and secure) and why? Have you ever tested the rest?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba msaada niweze kuchakachua modem ya zantel ambayo haitumii line 'inbuilt' aina ya Huawei make garama zao zimenishinda nataka nihamie Airtel
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunahitaji kutengeneza program ambayo ni very interractive, kwa mfano tuna duka na tunahitaji kutangaza bidhaa za dukani kwetu kwa njia ya mobile sms. Tunafikiria kutengeneza sms marketing system...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF. Ninaomba kujifunza, kuna faida gani za kutumia teknolojia ya digitali ukilinganisha na analojia? Kama tujuavyo mwaka ujao ndio mwisho wa matumizi ya teknolojia ya analojia. Je, kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna file nimedownload ila ipo kwenye rar fomat na imekataa kufunguka kwenye computer yangu, naomba mwenye ujuzi anisaidie please natumia window 7.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Test how good or bad is your memory/kumbukumbu . teh teh RAM na rOM za ubongo wako . BBC - Science & Nature - Human Body and Mind - Memory Tester jaribu kamtihani hako juu kutest kumbukumbu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani sijui kama ni mimi peke yangu naibiwa, ukiweka salio hakuna kitu kinachoingia, tigo pesa nako wamenikata bila sababu. ukipiga simu ndio balaa, mara namba yatumika, mara haipatikani, mara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom