RAM na ROM ya ubongo wako ikoje- Jipime mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RAM na ROM ya ubongo wako ikoje- Jipime mwenyewe

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Dec 9, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Test how good or bad is your memory/kumbukumbu . teh teh RAM na rOM za ubongo wako .
  [FONT=&amp]BBC - Science & Nature - Human Body and Mind - Memory Tester[/FONT]

  jaribu kamtihani hako juu kutest kumbukumbu zako za juu

  • number
  • rangi
  • maumbo,
  • matukio
  na vitu vingine

  Je baadda ya test umegundua ubongo wako una RAM/ ROM kiasi gani lol ?

  teh teh teh teh wenzetu wako mbali kwenye mambo ya teknolojia na research.
   
 2. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimejaribu link! nilichoambulia ni
  Capture2.PNG
   

  Attached Files:

 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu inaonekana flash player kwenye mashine yako ni ya zamani sana yaani ni version below 7. Wakti sasa hivi adobe kuna flash player 11

  Nenda kiunganisho Adobe - Install a different version of Adobe Flash Player , kongooli (click) maneno yaliyonadikwa Get the latest version . Sio muhimu kudowload mcfee so unaweza ku uncheck ption ya macfee. then pakua flaspayer kisha isimike (install) baada ya hapo anza kutest RAM ya ubongo wako
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  I did GOOD.
   
 5. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natumia silverlight latest version! adobe flash player 10 plug in! na 11 active x! au zimekorogana nini?
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,754
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  mi nina terabyte qutrilion 100 za ram na zinajidouble mara milion mia kila baada ya sekunde 0.00000000000000001
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hongera sana L.

  Hahahahhaha Chief Ila zaidi ya RAM na ROM ya ubongo unaona wenzetu wanavyotumia hii tenolojia ya ICT katika level tofauti kabisa.
   
 8. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimechemka balaa! memori ndo sina kabisa!
   
Loading...