Tigo kwaherini, biashara imewashinda

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,213
Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao wenu.

Na wenzangu wanaokerwa na Tigo naomba tuususie huu mtandao ili wajifunze kuheshimu wateja.
 
Tatizo hawa customer care wanawachukua matozi na visister du m2 wangu ndio maana wakikutana 2 kazini wanaanza mambo yao halafu wanasahau kazi. Karibu Airtell !!
 
Thanks nitakaribia mkuu
 
Kwa kweli inakera kupita maelezo. Mimi kwa kuna kipindi walikuwa wananitumia taarifa za miziki ya taarabu na kwa bahati mbaya mimi sio mpenzi wa miziki hii, nikawa nawaomba wanitoe ila baada ya muda wanatuma tena na hela wanakata, nikijaribu kupiga customer care simu inaita hata zaidi ya nusu saa ila haipokelewi na hela wanakata! Kwa kweli mwishowe nimeamua tu kujiweka pembeni na kuhamia mtandao mwingne. Siku za karibuni nimemsikia wife nae analalamika kwamba akipga simu kwa huu mtandao haziendi, jamani!
 
Mkuu inavyoonekana wewe ni mwenyeji kwenye jumba hili la JF. Lakini binafsi nahisi kama siwezi kuungana na wewe ktk kuwalaani hao tigo, kwa sababu wewe ni mbishi. Kwa maneno mengine wewe ni Tomaso, ni mpaka uguse ndipo uamini.
Na sasa umegusa nadhani sasa utaamini.

Mwanzoni mwa mwezi uliopita Wadau tukikubaliana humu ndani(JF) kuachana kabisa na hawa tigo hadi watakapojirekebisha.Baada ya siku kadhaa wakatangaza offer ya nyongeza ya muda wa maongezi waliokuwa wamestitsha.
Je, hukuamini walichokuwa wakilalamikia wanajamii? Je, wewe ni miongoni mwa wasaliti wachache walioendelea kutumia tigo?
 
msaliti huyu ..hawa ndio walimuingiza jk ikulu mwaka 2010
 
Mimi huwa nashangaa watu wengine, hili jambo tulilijadili kwa kina humu ndani, na wanajamii kwa kauli moja tulikubaliana kuwa ban hao tigo. Ni kituko cha mwaka mtu kurudi hapa kulalamika eti ameibiwa na tigo. He can't be serious.
 
Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao wenu.

Na wenzangu wanaokerwa na Tigo naomba tuususie huu mtandao ili wajifunze kuheshimu wateja.

unapenda sana TIGO ndiyo mana unalalama.Wa2 tushawapiga chini kitamboooo sana??
 
Mimi leo wife katumiwa sms insmwambia eti salio alilokopa ni tsh 526 akapigwa na butwaa kwa kuwa kabla ya hapo alikuwa km na elfu 2 na leondo kaaamini maana naye alikuwa mbishi kuhama.
 
Tigo noma. Upi mtandao bora wanaJF. Siyo wote wameaccess threads za mwanzo, acheni matusi wakubwa/wadogo.
 
Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao wenu.

Na wenzangu wanaokerwa na Tigo naomba tuususie huu mtandao ili wajifunze kuheshimu wateja.

mie nakushauri uhamie airtel.
 
Du kumbe mlishawapiga ban hawa Tigo Nilikuwa wapi sikuiona hiyo naunga mkono 100% ninakisa kirefu hawa wezi watupu
 
Mimi huwa nashangaa watu wengine, hili jambo tulilijadili kwa kina humu ndani, na wanajamii kwa kauli moja tulikubaliana kuwa ban hao tigo. Ni kituko cha mwaka mtu kurudi hapa kulalamika eti ameibiwa na tigo. He can't be serious.
Sio kila mtu aliisoma hiyo thread ya kuwa ban TIGO....Mtu anapokuja na kitu msaidieni sio kukimbilia kulaumu...nyie vipi?????
 
Mimi huwa nashangaa watu wengine, hili jambo tulilijadili kwa kina humu ndani, na wanajamii kwa kauli moja tulikubaliana kuwa ban hao tigo. Ni kituko cha mwaka mtu kurudi hapa kulalamika eti ameibiwa na tigo. He can't be serious.

may be hakufanikiwa kuziona izo posts due to some reasons...cdhan kama agelalamika tena kama alikwisha ziona izo posts....the good thing ameshajua uhuni wa hawa tiGO
 
Back
Top Bottom