Which webmail service offers the best spam protection? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Which webmail service offers the best spam protection?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Invisible, Dec 10, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  In between these free mail services providers GMail, Yahoo Mail and Hotmail, who do you think has the best spam protection (and secure) and why? Have you ever tested the rest?
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mi binafsi yangu naona kama wanafanana tu..
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  You can't be serious!
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mie naona gmail ina unafuu zaidi ya yahoomail. hii hotmail sijawahi itumia.
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Tatizo ni kwamba mimi situmii kusoma emails zangu direct kwenye browser kwa muda mrefu sasa... Nime install mail client (incredimail plus version) ambayo inabeba account zote za mail nilizonazo (yahoo, gmail, hotmail na baadhi za pop3 za kiofisi), sasa hii client inatoa special spam protection direct (built in antivirus) ambayo inasafisha kwelikweli na spam zinazonaswa kwa account zote hazitofautiani sana na nimeona tofauti kubwa ya kukamata kwa spam hizi ukilinganisha na wakati natumia browser direct..zilikuwa zinanisumbua sana enzi zile (kwa account zoe za gmail, yahoo na hotmail)

  ...mara nyingi nilikuwa nafungua emails ambazo ni virus/spam lakini hazija chujwa kama spam kwenye account..lakini sahizi nina uhakika na inbox zangu zote na ikija spam unakuta ni spam kweli na haikatizi kwenye inbox...!!
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa experince yangu Gmail wako njema kulikohao wengine . Why?
  • nimeobserve some span zinaingia direct kwenye box kwenye yahoo lakini atleast gmail inajitahidi. But strict rules za gmail zake pia zinaweza kuwa kikwazo Sometime email isiyo a tatizo inawekwa kwenye kapu la spam. Hasa ukifanya subsriscription kwenye tovuti mbali mbali. Lakini 90% ya spam detection yao iko sahihi.
  • Pia Gmail inakupa control ya kufanya filter mwenyewe. Anyway sijachunguza yahoo siku nyingi kama na yeneywe inaweza kumpa user control ya account yake kiasi kikubwa kama gmail.
  So to me Gmail iko poa tatizo naloona kwa Gmail ni user interface (UI) yao . I ike Yahoo Mail UI
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 8. HT

  HT JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hotmail have better one. Gmail used to be worst but theyre improving
   
Loading...