Analojia na digitali

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Habari wana JF. Ninaomba kujifunza, kuna faida gani za kutumia teknolojia ya digitali ukilinganisha na analojia? Kama tujuavyo mwaka ujao ndio mwisho wa matumizi ya teknolojia ya analojia. Je, kwa watumiaji wa satellite dish kwa ajili ya TV , wafahamu kuwa ile ni teknolojia gani kati ya hizo mbili? Pia watanzania wengi wanatumia redio kupata habari wajiandae vipi? Ahsante.
 
wanafanya hivyo ili waUS waweze kuyapata kiurahisi matukio ya tv zenu ndio maanake inakuwa hivyo lakini zaidi ya hapo hakuna lolote na upande wa analojia iko poa tu..
 
Dish zote kwa sasa ni digital.Digital inawezesha kwa kutumia masafa moja (frequency)kurusha Tv stations mpaka 500 au zaidi.pia na Radio stations.TV yeyote inakuwa inafanya kazi ktk digital,kwani ni kingamuzi ndio kinabadili digital kuwa analog,so utoweza ona Tv kama una Kingamuzi.
 
mkuu kama huna uwezo wa kumili king'amuzi utaitupa tv yako au ndio analojia inatolewa kabisa..:confused3:
 
mkuu kama huna uwezo wa kumili king'amuzi utaitupa tv yako au ndio analojia inatolewa kabisa..:confused3:

navyofahamu mm kama hautakuwa na king'amuzi itabidi 2 uitupe 2 hiyo tv yako manake itakuwa imetengezwa kwa mfumo wa analog
 
Tv kwa sasa zipo za aina 2.Analog na Digital.Digital ni kama zile wanazouza Starmedia wa TBC.Tv za digital zinakuja na kingamuzi kimeshajengewa ndani yake.Analog ni zile ambazo inabidi ukonect na kingamuzi kama vile cha Ting au Starmedia. Hivyo kitakachotokea ni kuwa ipo siku vituo vyote vya Tv apa duniani(Tanzania mwakani)vitazima trasmitter zake,yaani utoweza pata matangazo kwa Antenna za kawaida kama hizi Sonet,Tubelights etc.Utaweza pata matangazo tu ukiconect na kingamuzi
 
mkuu kama huna uwezo wa kumili king'amuzi utaitupa tv yako au ndio analojia inatolewa kabisa..:confused3:
kama una kingamuzi au ujakilipia kingamuzi chako uwezi pata ata Tv station moja.kitakachotokea ni kuwa utoweza kamata let say ITV au TBC kwa antenna pekee kama sasa.Itakuwa ya kwamba inabidi ufunge Kingamuzi kati ya Antenna yako na Tv ndo uweze ona Tv
 
clip hii ya dk 26 ina maezo ya scenario zote za mabadiliko ya digital tv na nini mtu atatakiwa kufanya
 
Last edited by a moderator:
mkuu kama huna uwezo wa kumili king'amuzi utaitupa tv yako au ndio analojia inatolewa kabisa..:confused3:

Nafikiri uko Wrong mkuu!
Naomba wadau mtambue elimu hii.

Watu waelewe kitu kmoja kwamba hata tukiamia digital officially lakini tutaendelea kupata free channel kwa kutumia dish hizi zilizopo kwani dish na receivers zote ni digital .sema mtu anaweza kubadilisha kutoka media com (DVB) akanunua za MPG4 nk.

Kwa sababu gani. Wenzetu nje wapo katika digital kitambo tena wapo katika HD lakini wanapatikana katika dish mfano za futi 8 nk. ITV,Channel ten,Star tv,TBC nk ni free channel zitaendelea kuwepo tu kwani vituo hivi vinategemea matangazo ambapo watangazaji hutegemea wingi wa kutazamwa kwa kituo husika hivyo vituo hivi haviwezi kukubali kuingizwa katika vingamuzi na kuondolewa kupatikana katika dish.

Hivi vingamuzi ni mikwala tu msibabaike .
 
Kwa upande wangu Digital Tv naona zinafaida kubwa zaidi kwa service provider kuliko mtazamaji. Digital Tv zinampa service provider uwanja mpana zaidi wa kufanya biashara kwa cost ya chini. Kwa mtazamaji wa kawaida sana sana atafaidika na picture quality and sound. Kitu ambacho wabongo hatuko aware nacho, we are not after it and we don't bother. Si kweli kwamba utalazimika kutupa Tv yako ya Analog. Kuna converter box ambazo hutumika kupokea analog signal na kuzibadili kuwa digital. Itabidi ununuwe kifaa hichi kama utataka kuendelea kutumia TV yako ya zamani. Tahadhari: In the Third world like ours. Wafanya biashara wanaoingiza na kuuza Tv za digital wanaweza wakazuia introduction ya converter boxes. As a result itabidi uingie dukani ufanye nao biashara, mzigo uende faster. Toka analog kwenda digital, USA walijipa transition ya more than 10 years toka 1996 mpaka 2009. Hapa kwetu lolote linaweza kutokea, provided wafanyabiasha ndivyo wanavyotaka.
 
Nafikiri uko Wrong mkuu!
Naomba wadau mtambue elimu hii.

Watu waelewe kitu kmoja kwamba hata tukiamia digital officially lakini tutaendelea kupata free channel kwa kutumia dish hizi zilizopo kwani dish na receivers zote ni digital .sema mtu anaweza kubadilisha kutoka media com (DVB) akanunua za MPG4 nk.

Kwa sababu gani. Wenzetu nje wapo katika digital kitambo tena wapo katika HD lakini wanapatikana katika dish mfano za futi 8 nk. ITV,Channel ten,Star tv,TBC nk ni free channel zitaendelea kuwepo tu kwani vituo hivi vinategemea matangazo ambapo watangazaji hutegemea wingi wa kutazamwa kwa kituo husika hivyo vituo hivi haviwezi kukubali kuingizwa katika vingamuzi na kuondolewa kupatikana katika dish.

Hivi vingamuzi ni mikwala tu msibabaike .
hizo extra cost ndo tatizo! kwa jinsi navyojua, mpaka muda wa ukufika wa kuondoa analog bei za ving'amuz itakuwa ni juu kwa 2000%
 
hizo extra cost ndo tatizo! kwa jinsi navyojua, mpaka muda wa ukufika wa kuondoa analog bei za ving'amuz itakuwa ni juu kwa 2000%

hayo ma dish tayari ni digital pamoja na receiver zake hapo wa kuchange ni wanaotumia antenna za kawaida
 
Back
Top Bottom