Msaada wa kufungua .rar file/folder kwenye Pc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kufungua .rar file/folder kwenye Pc

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by coscated, Dec 10, 2011.

 1. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,506
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Kuna file nimedownload ila ipo kwenye rar fomat na imekataa kufunguka kwenye computer yangu, naomba mwenye ujuzi anisaidie please natumia window 7.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unahitaji Winrar. . .
  Unaweza ukadownload trial version hapa http://www.rarlab.com/
   
 3. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama una software za kutengenezea rar kama winrar kwenye pc yako fanya hivi! right click kwenye hilo file then choose option ya ku extract files! normally ukikubali hatua znazofata kwa ku click next file la software utakuta kwenye desktop!
   
 4. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 5. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  au zama hapaDownload WinRAR utapata for free bila kutoa hata jero na inapiga kazi full mwanzo mwisho!
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,506
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  ukiona file yoyote ambyo imeandikwa .rar or .zip it means kwamba ndani yake kuna files kadhaa ambazo zimekuwa compressed ili kusave space na kurahisha usafirishaji wake. So ili kuweza kuzifungua inabidi uinstall software ya winzip or winrar then right click kwenye file unalotaka kulifungua then go winzip or winrar then click on extract here.
   
Loading...