Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Me ni music producer nikirender beat au nyimbo kwenye 24 bit depth au 32 bit nyimbo inagoma kuplay...what is wrong ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu yangu ya nokia inakataa kuunga kwenye pc..lakini nikiicommand kama storage device inatiki. Shida inakuja nikiicommand kama nokia mode, kwenye nokia pc suite inapotea kabisa.,. I.Ts naomba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nimehamia sehemu ambayo umeme ni mdogo(voltage) hivyo computer inashindwa kuwaka,nikiiwasha kuna taa nyekundu inawaka kisha inatoa mlio(alarm).ila vifaa vingine kama tv,radio na hata friji...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Heshima mbele.. Samahani kwa wadau kama hili suala lilishajadiliwa, maana tool ya 'search' ya JF imekuwa ya hovyo sku izi. Ni hivii..natafuta means ya kuchakachua hii modem ya Vodafone K3565-Z...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Forgotten your Windows password? No problem! Relax. We can recover most Windows passwords. For Windows XP, Windows 2000, Windows Server 2003 and 2008, NT, Vista and Windows 7 passwords Just...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri Mkuu anaiporomoti wakati maandishi yamekosewa imepambwa utadhani ya wanamziki!! http://www.tanzania50uhuru.go.tz/contacts.asp
1 Reactions
15 Replies
1K Views
naomba yeyote humu ndani anayefahamu flash code ya Nokia E61i anisaidie!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nipo likizo kijijini lapyy imecrash na cd rom imekufa. Nawezaje kuhamisha/copy mafaili ya win7 to usb flash na iwe bootable ili niweze kurepair windows yangu imecrash? Nimejaribu kugoogle...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama una modem ya voda zile za zte kuna software inaitwa JOIN AIR,itakuwezesha ku2mia line yeyote ya mtandao wowote bila kuchakachua wala ku update frameware.Je? Modem za Huawei haiwezekani? Kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A public beta of Windows 8 will launch in late February of next year, says tech news site Next Web.Citing "sources close to Microsoft," TNW pointed to February for the beta's debut but said the...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
[*=left]Great Little War Game [*=left]SketchBook Mobile [*=left]Paper Camera [*=left]Sound Hound [*=left]Asphalt 6 [*=left]Fieldrunners HD [*=left]SwiftKey [*=left]Minecraft [*=left]Endomondo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msada kama kuna uwezekano wa kupata kumbumbu za simu nilizo piga au kupigiwa pamoja sms ambazo kwa bahati mbaya nilizifuta kutoka kwenye simu yangu na pia kama kuna uwezekano wa kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninafanya installation ya OS CD ya window 7 kwenye computer ya DELL INSPIRON lakini kila inapoanza ku copy windows files(0%) inakaa kama dakika 5 hv halafu inaleta message "windows setup could not...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mazee heshima! Sasa ni hiviii, kuna simu LG GT540 imenunuliwa online kama 'unlcked', sasa kwa specs zake, kama zinavoonekana hapa LG GT540 Optimus - Full phone specifications inaonesha kwamba by...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetumiwa simu kutoka us tatzo haisomi laini zetu hapa bongo msaada wenu wakuu wapi naweza kuiflash isome laini za tz
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Modem yangu ya wireless Internet aina ya Billion 800VGT haiwaki. Mwanzoni nilifikiria ni tatizo la adapter nikabadilisha lakini haikuwaka. Ninahisi ni tatizo ndani ya modem. Wadau wenye kujua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada namna ya kuondoa blue colour kwenye desktop icons kwani kwenye folder names and programe names zinakuwa highlited na blue color, nimejaribu kuiondoa nimeshindwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wadau wa Motion Graphic,Visual EFX na 3D hili jina labda ni geni au si geni kwenu.Huyu dogo ni balaa ktk kuitumia Adobe After Effect.Kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia tutorial zake na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu mim ni fundi ktk fan ya auto electrical(umeme wa magari) pamoja na electronics na elim ya ufund hiyo niliipata veta chang'ombe dar es salaam. Nataka niongeze ujuzi...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Mwenye ujuzi naomba msaada namna ya kuatach picha kutoka kwenye simu kwenda kwenye post ya Jamii kwangu inakataa
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Back
Top Bottom