Msaada wa haraka

Tectoner

Member
Dec 5, 2011
48
0
Computer yangu ninapoitumia inaleta kijidirisha chenye ujumbe "there is no disk in the drive. Please insert a disk into drive" nisaidieni jaman
 
inaonekana kuna program ili corapt sasa inataka ku install jaribu kutazama ni program gani inayoleta hiyo massage halafu ui remove na ikikataa ku remove jaribu ku install tena **** ku repair na maranyingi ishu hii inasababishwa na kutokuwa na antvirus nzuri ambayo inashindwa kuzuiya virus
 
Kwa sababu inawaka.. na kuleta hiyo error ina maana sio hard disc huenda ni floppy disc, cha kufanya fungua hiyo computer chomoa waya zote za floppy drive then restart computer, ikiwaka bonyeza F1 ili kusave changes!! haitakusumbua tena
 
Ushauri uliopewa hapo juu unajitosheleza! ukifanikiwa rudisha feedback watu wacompile mafile yao.
 
Kuna software inaweza kuwa inamiss support files, kama hp printer software mara nyingi huwa na kasumba hii, unaweza weka cd husika alafu ok, au hakikisha uko na strong antivirus na ipo updated na ufanye full system scan
 
Kwa sababu inawaka.. na kuleta hiyo error ina maana sio hard disc huenda ni floppy disc, cha kufanya fungua hiyo computer chomoa waya zote za floppy drive then restart computer, ikiwaka bonyeza F1 ili kusave changes!! haitakusumbua tena

nashukuru kaka kitu kimetiki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom