Nimerudi Tena; VOD over CATV. WATAALAM NISAIDIENI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimerudi Tena; VOD over CATV. WATAALAM NISAIDIENI

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Dec 12, 2011.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Niko kwenye hatua za katikati katika project yangu ya VIDEO ON DEMAND, kutokana na limit ya bajeti yangu nimeamua kufanya a -do-it-yourself type of project ili kusave, nachomaanisha ni kwamba natafuta consultancy ya cheap au bure kutoka kwa wataalam ama forums kama hii, then nanunua off the shelf hardwares and softwares, kisha natumia local technicians kufanya instalation. Mpaka sasa nina network nzuri tu ya Cable TV, ina run na ina customer wa kutosha.

  Tatizo linakuja moja, lengo langu la Kuongeza Video on Demand Channel nje ya channel ambazo mteja analipia kawaida kwa mwezi. Maana ya kwamba, katika hii chenel kuwe na option ya kuselect video anayotaka kuangalia mteja then analipia kwa MPESA na anapewa code inayoexpire ndani ya masaa kadhaa toka afungue hiyo video kuiangalia; Hapa sasa ndy nimekwama, ni hardware na software gani nitahitaji huku kwenye server na kwa mteja ili niweze kufanikisha hili (bilakusahau bajeti yangu ni ndogo tafadhali-mwisho M3 on the server side), pia kwa mteja ni king'amuzi cha aina gani kitumike, sitaki ving'amuzi vya bei ghali (niweze kumuuzia mteja kwa wastani wa elf40).

  Kama kuna mtu anajiamini na haya mambo tunaweza pia kuwasiliana kwa PM.
  Natanguliza shukran!
   
Loading...