Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani sijui kama ni mimi peke yangu naibiwa, ukiweka salio hakuna kitu kinachoingia, tigo pesa nako wamenikata bila sababu. ukipiga simu ndio balaa, mara namba yatumika, mara haipatikani, mara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kutokana na mfumo wa kurusha matangazo ya tv kubadilika kutoka analogi kuwa digitari kuanzia mwakani,kuna kitu kinanichanganya juu ya haya makampuni ya kutoa huduma hiyo ambayo yapo manne...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya tena wadau, kwa wale ambao bado hawajabahatika kupata Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP (language pack) leo nakileta mbele yenu..(kwa watakaopenda) ..Kiolesura Fungasha Kiswahili...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
hii pc nikiiwasha yaishia tu kuandika welcome haifunguki zaidi ya hapo...na hiyo imetokea baada ya kuinstall antivirus kisha nika restart as per requirement, Msaada pls wale wataalamu wa kujitolea...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau naombeni msaada wa kupata free symbian games na apps mbalimbali kwa nokia 5320! Napenda sana games ila source ndo sizifaham hasa games za gameloft kama real football 2010... Nisaidieni jamani!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wataalamu,kuna namba inanisumbua sana,nataka akinipgia asinipate,cmu ninayotumia ndo hyo hapo..kama kuna yeyote anaeweza kunisaidia jinc ya kufanya anisaidie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni ms2ada jamani.Nimeweka OS aina ya xp kwenye PC YANGU ya pentium 2.driver zote za sauti zimekataa kufanya kazi.naombeni msaada.jina la PC linanipa shida limeandikwa kwa kichina
0 Reactions
19 Replies
4K Views
As massive poverty continues to rock the majority of Tanzanians, the latest data reveal that Tanzania`s wealth in terms of the top five metals out of eleven...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
A Virus Program to Block Websites Most of us are familiar with the virus that used to block Orkut and Youtube site. If you are curious about creating such a virus on your own, here is how it...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ever wondered to know how to hide secret messages in images, audio and video files? Well, in this post I will take you through a concept called steganography using which, it is possible to hide...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani eeh! kati ya smartphone na laptop nani mkali zaidi ya mwenzie?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna shindano online la ku crack hii code...zimebaki siku nne....kwa taarifa zaidi ingia hapa...Can you crack it?
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepitia ktk fb account yangu asubuhi hii nikakutana na post za CHADEMA zikitumwa kuopitia account ya Ridhiwan.Nadhani hackers wameshafanya kazi yao.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nimejitahidi kuitafuta iliyo compatible na simu yangu nimeshindwa. Mwenye maujanja anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kwa maelezo niliyonayo ttcl modem inacharge kwa masaa with unlimited capacity naomba kujuzwa uhalisia wake kwa wazoefu nikanunue hii modem!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau? Computer yangu inadisplay maneno haya "you may be a victim of software counterfeiting-This copy of windows did not pass genuine windows validation". Nimejaribu kwa uwezo wangu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
CPU za Loongson zilizotengenezewa na China zaingia kwenye soko la kimataifa Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya upashanaji wa habari, bidhaa mbalimbali za upashanaji wa habari kama vile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imeanza jioni hii. Nikiwasha sikirini inakuwa nyeusi ikiambatana na maneno 'BOOTMGR is compressed Press Ctrl+Alt+Del to restart' nikifanya hiyo command inazima, ikiwaka inarudi tena vile vile...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
This article is all about, how to connect laptop to TV. The small screen of our laptops may not always be the right interface, to watch a movie, or for a matter of fact, show some digital...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari waungwana ..., Nahitaji kununua Electric Jug-Cattle + Domestic Blender kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya nyumbani, tafadhali naomba ushauri kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu the best...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom