Msaada wa Kutumia Moderm ya Tigo kwa Airtel.

Msaada wa Kutumia Moderm ya Tigo kwa Airtel.

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
Naomba mnisaidie kubadili hii moderm ya Tigo ili niweze kutumia Airtel.
 
Iflash m2 wangu ili u2mie lain zote airtel ikiwepo!
 
Naomba mnisaidie kubadili hii moderm ya Tigo ili niweze kutumia Airtel.

unapotaka msaada jaribu nawe kujisaidia.
Unapobebwa jitahidi kubebeka bas.
Kunawadau weng washa uriza ishu kama yako na wataalam wamefunguka vya kutosha.

Its means pitia some thread utakutana na solution ya tatizo lako.
Sole kama ntakuwa cjakujibu kistarabu.
 
Back
Top Bottom