Msaada; huku natoa machozi

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
waku u leo nlikua natumia exteno yngu ya 640gb smsung gfla ikaanguka. adi saivi haisomi japo kita kinawaka. na kinchoniuma ni reports zangu,500movies na games zakutosha. naomba msaada jamani niweze kurecover my data
 
Ifunge vizuri kwa Nylon then weka kwenye fliji.. Afu itoe baada ya 24 hrs.. Itakuwa fresh.
 
HDD nyingi ziko vulnerable na physical shock. Hapo kuna kati ya haya. Ilipondondoka

  1. Kilichoharibika ni enclosure ya Hiyo HDD na ndani kila kitu kio salama. Hapa unachoweza kufanya ni kufungua na kuitoa HDD nje na kuweka wenye enclosure nyingine kuona kama itaonekana kwenye computer
  2. Kile kichwa au ule mkono unaosoma/kuandika (read/write) kwenye kisahani (Ambayo ndiyo disc yenyewe) vimepepoteza mawasiliano. yaani kuna mechanical probem
Jaribu option number moja kwanza . Option number mbil nadhani ni ngumu sana na inahitaji kufugua kabisa HDD mpaka dani kabisa uone kisahani(disc)

Yaani kwa option ya pili HDD yako ni nzima ila tatizo ni zile partt zinazofanya movement zimetenguka. Yaani ule mkono(head) umecheza na kuhama so distance ya kutoka kwenye mkono na HDD plate ndio tatizo. Hapo fanya bahati nasibu au tafuta mtaalam. Kama hili ndi tatizo hata recovery software haziwezi kusadiia mpaka mechanism read/write ya mkono irudi inavyotakiana kwanza

images
 
Hakuna software inayoweza kufix hardware damage, hiyo ndo ishaenda unless upo teyari kulipa maelfu ya dola kuna kampuni zinaweza kuifungua na kuhamisha plates.

Ndo maana nawaambiaga watu external sio backup ya kutosha hasa kwa documents, muvi hazina tatizo utazipata upya.

In the future kwa docs tumia dropbox.com at least, ina 2GB free, file zako zinahifadhiwa kwenye server zao na zina sync automatically.
 
makampuni yapo bongo au korea kusini,nina tatizo kama la huyo mtu!
 
Hakuna software inayoweza kufix hardware damage, .

Kang
zipo software na utility za kufix logical hardware damage kama File systeme integrity, bad sectors. etc.

Mfano mdogo ni
chdsk utility ya windows na fsckya unix . kwa hiyo ina depend na level ya damage.
 
Chukua kikombe kimoja cha dawa yako mzeewaloliondo, ikogeshe hyo HDD, wait kwa saa 2 itapona. Haha! Lol! I'm xory wish cud help.
 
waku u leo nlikua natumia exteno yngu ya 640gb smsung gfla ikaanguka. adi saivi haisomi japo kita kinawaka. na kinchoniuma ni reports zangu,500movies na games zakutosha. naomba msaada jamani niweze kurecover my data
mimi mdogo wangu pia alidondosha ya 300GB.then after miezi 3 mwenyewe nilidondosha ya 250 GB.zilikuwa na the same symptoms kama hiyo yako,tatizo ni hardware failure,no software can solve this!.ndani ya hdd kuna head mfano wa sindano ya player(za kucheza santuri)heads zimekuwa stuck,MIMI NILIZITUMA INDIA,WAKAZIREPEAR NA KURECOVE ALL MY MOVIES,DOCS N.K.so kama upo interested nikupe contacts zao uwatumie
 
Kang
zipo software na utility za kufix logical hardware damage kama File systeme integrity, bad sectors. etc.

Mfano mdogo ni
chdsk utility ya windows na fsckya unix . kwa hiyo ina depend na level ya damage.

Mkuu, Kang anazungumzia Hardware and Not Software, kitu hakiwaki hiyo Utilty utairun vp? kama imepata shida upande wa Hardware ni Ngumu kwa kweli.....
 
Hakuna software inayoweza kufix hardware damage, hiyo ndo ishaenda unless upo teyari kulipa maelfu ya dola kuna kampuni zinaweza kuifungua na kuhamisha plates.

Ndo maana nawaambiaga watu external sio backup ya kutosha hasa kwa documents, muvi hazina tatizo utazipata upya.

In the future kwa docs tumia dropbox.com at least, ina 2GB free, file zako zinahifadhiwa kwenye server zao na zina sync automatically.

thnx for the idea mkuu
 
Back
Top Bottom