Tigo wizi mtu, mawasiliano hovyoo!

JUKUMU

Member
Apr 5, 2009
76
31
Jamani sijui kama ni mimi peke yangu naibiwa, ukiweka salio hakuna kitu kinachoingia, tigo pesa nako wamenikata bila sababu. ukipiga simu ndio balaa, mara namba yatumika, mara haipatikani, mara yajikata. Hamisha salio nako ni kulipia, madai mtandao nafuu...me nawaona kama vibaka wa mitaani.naomba wizara husika iangalie huu mtandao wa tigo na mingine, maana naona sasa watu wa mawsiliano wanazidi kuwafilisi watu kila kukicha.
 
nimeona tcra wanatafuta mzabuni wa kuangalia quality of service zinazotolewa na haya makampuni ya simu.shaka yangu ni mchakato kuchukua muda mrefu na kuingiliwa na rushwa wakati consumers wanataabika
 
nyie mpo nchi gani??! mbona ss huku tigo iko ok tu !! acheni kuwasingizia lol!!
 
yaani huu mtandao unatia hasira sana...mtu anakubeep, akikata ukampigia unaambiwa namba haipatikani!!
 
hamia sasatel bwana

Mmm! hao ni vilaza wengine kwenye swala zima la mawasiliano, niliwahi kutumia modern yao, yaani kufungua page ya google tu unaweza kumimina chai ukaweka sukari ukanywa mpaka nusu ndio itaanza kufunguka.
 
Tigo ni noma! Wizi wakubwa, wao kila huduma ni hela tu, mm wananiibia salio na hawatosheki mwisho waniekea salio langu -55!! Yani negative na ukiwauliza vipi wanakuzungusha,,, customer care nao hawapatikani na ukiwapata hela inakwenda km kawaida, ukiwauliza mbn mna chaji huduma kwa wateja wanakwambia mteja anathaminiwa kwao duh!! Nimejiunga xtrm ata msg hazijesha zikawa haziendi nikacheki salio naambiwa zimebaki 24 na hela km 300+ baadae kdg nlipocheki tena msg zero na salio limepunguwa wkt msg zilikua haziendi!!!! Ata mm najiuliza wapo wapi wizara husika huu mtandao ni wizi mtupu!! Tuhamieni kwenye basi kubwa jamani!!
 
Yaani hawa jamaa ni vimburumatali sana. Yaani unavyowataja na kuna miji2 inawatetea inanitia mpaka kinyaa.
Mim nilikuwa kila nikinunua vifurushi vyao wananigomea na kuniambia kuwa siwezi kununua wakati kifurush kingine ninacho wakati cna ki2.Wamenizingua wee mpaka nikawapotezea.

Now wamekuja na kamchezo kao ukimpigia mu2 wanakupigia mziki 2 nakukwambia mtu unayempigia hapatikani hata kama unayehapo hapo na yupo hewan.

Kama hyo haitosh ukimpigia m2 wanakwambia uongeza salio ukiongeza na kuangalia salio lipo la kutosheleza na watakwambia umemaliza huduma ya tafathari nipigie. Yaani mim mpaka wakanichosha.
Cjui wanajamv kama mshakutana na vihoja hivyo vya tigo.
 
nilishawahi kumpigia rafiki yangu wakaniambia hapatikani wakati nilikua napiga nae story! aisee ni viibaka balaaa!
 
Back
Top Bottom