Msaada wa Kutengeneza SMS Server | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Kutengeneza SMS Server

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mbogela, Dec 10, 2011.

 1. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tunahitaji kutengeneza program ambayo ni very interractive, kwa mfano tuna duka na tunahitaji kutangaza bidhaa za dukani kwetu kwa njia ya mobile sms. Tunafikiria kutengeneza sms marketing system ambapo mtu anatuma jina la Duka letu sema DUKA na anapewa maelekezo wapi duka letu lipo, au anatuma neno BEI anaambiwa bei za bidhaa anayohitaji au anatuma neno MUDA na tunamuambia muda ambao duka letu linafungua,. Vivyo hivyo kwa hotel nk. Lakini tunataka kutengeneza program ambayo itakuwa simple na cheap. Hatuhitaji kushirikisha makampuni makubwa ya Simu, tunataka huduma itakayokuwa independent. Vifaa tulivyo navyo ni Fast Intenet (ya AFSAT), computer kadhaa, simu. Tutakuwa na uwezo wa kuwekeza katika gudgets zingine zitakazo takiwa kudevelop hiyo program (Interphase/gateway). Lakini kinachotusibu ni kuwa hatuna Know How ya kuset hiyo program. Je inawezekana kitu kama hicho? Na kama inawezekana tutapata wapi huduma ya Know how au msaada wa kuset hiyo program?
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kuna jamaa angu ametengeneza similar system,kutumia Visual basic.Na inafanya kazi .wewe unajua programing language gani?je una Gsm moderm ?.Je mtatumia short code?
   
 3. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kitu inawezekana tena ni very simple maana mimi nimeifanya na inapiga kazi vizuri tu tena bila hata internet Access, unaweza kutuma JINA LAKO kwenda kwenye namba yangu then System inakujibu kuwa umesajiriwa,then ukitaka Service yoyote kwa kutuma Code inakupa majibu as per request mfano neno MICHEZO inakupa details zote kuhusu michezo.
  Huhitaji hata shilingi moja kufanya hiyo kitu zaidi ya kununua SMS kutoka kwa Service provider kama vodacom.
  Kuhusu language mimi nilitumia PHP na inaleta raha sana,but unaweza tumia Language yoyote.

  KAMA MTAONA INAPENDEZA JUST PM ME 4MORE DETAILS
   
 4. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuu, nakuPM sasa hivi uweze kunipa details, nahitaji kitu simple kitu ambacho hakihitaji elimu kubwa sana ya IT. Asante sana,
   
Loading...