nawezaje kupunguza ukubwa wa picha?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Kuna picha ambazo nimepiga ziko kwenye simu. sasa nikitaka kuzi apload aidha kwenye email au humu jf zinakataa kwa kuwa ni kubwa sana. MB 1 n.k. zile ambazo nilipunguza saiz ya kamera zina apload bila tatizo. kuna namna naweza kupunguza au ku squeez toka MB hadi KB?
 
Fungua picha unayotaka kupunguza kwa MICROSOFT PAINT alafu bonyeza palipoandika IMAGE kisha chagua STRETCH/SKEW.
Utakuta kwenye kibox cha urefu na upana vyote vimeandika 100%, punguza. Unaweza ukaanza kwa kupunguza kidogo ili isipungue zaidi ya unavyotaka. Alafu uandike asilimia sawa sawa kwenye vibox vyote viwili, kwahiyo kama ni 70% iwe sabini kote kisha bonyeza inter. Ukimaliza save picha yako, ningeshauri u-SAVE AS na kubadili jina kidogo ili ubaki na ile original aswell.
 
Pia kwa kuwa picha ziko kwenye simu,sijui unatumia simu aina gani, unaweza kufungua picha na ukaenda kwenye 'options', utakuta 'edit photo' au kitu kama hicho. Ukipress utapata option ya kuscale picha yako. Unaweza hata ukapunguza ukubwa wa background tu au na picha yenyewe kama lazima. Hatua nyingine ni kama ulivyoshauriwa na Lizzy. Yaani ipe jina na kusave.
 
Fungua picha yako na Ms Office Picture Manager >>click edit picture, upande wa kulia click compress picture, >>then select unataka iwe ya namna gani...click ok, ikimaliza Save!!
 
Back
Top Bottom