Jinsi ya kuchakachua modem ya zantel

Jinsi ya kuchakachua modem ya zantel

othorong'ong'o

Senior Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
103
Reaction score
19
Naomba msaada niweze kuchakachua modem ya zantel ambayo haitumii line 'inbuilt' aina ya Huawei make garama zao zimenishinda nataka nihamie Airtel
 
kama unahamia airtel, simple... BUY THEIR MODEM!!
 
Naomba msaada niweze kuchakachua modem ya zantel ambayo haitumii line 'inbuilt' aina ya Huawei make garama zao zimenishinda nataka nihamie Airtel
Kama zimekushinda itupe hiyo modem...acha kupenda vya bure!
 
Kama zimekushinda itupe hiyo modem...acha kupenda vya bure!

umepotea mlango bana.Huo ushauri wako na vimaneno vya kimasaburi na kicameroon peleka chit chat au MMU.

Acha ukimbora hili ni jukwaa la tech
 
Back
Top Bottom