Msaada wa game hii(allien shooter)

Msaada wa game hii(allien shooter)

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wakuu naihitaji msaada wa game hii nimejaribu kuitafuta mtandaoni wananiambia nicheze online naihitaj niwe nayo msaada kwa mwenye nayo au ntaipata vp!
 
Wakuu naihitaji msaada wa game hii nimejaribu kuitafuta mtandaoni wananiambia nicheze online naihitaj niwe nayo msaada kwa mwenye nayo au ntaipata vp!

niambie ni game gani hyo unayoihitaji na uko wapi?
 
Game:ALLIEN SHOOTER
Naitaji ya computer (pc)
kwa mdau ulieniuliza nilipo nipo iringa.
 
Back
Top Bottom