Wadau kichwa cha habari hapo juu chajieleza natumia Samsung grand prime duos anaejua tafadhali anisaidie nimefungua account cha ajabu play store haifungui
Habari yenu ninatumaini mu wazima kabisa ningependwa kujuzwa simu aina ya android ambazo ni version mpya ya android yani mashmallow ambazo ziko around 180,000 mpaka 250,000 isipokuwa tekno...
Habar wakuu naomba msaada wenu jinsi ya kuitengeneza simu yangu ya lg g3 ambayo imeharibika kabisaa coz haiwaki hata nikijaribu button combination ili niende kwenye download mode na recovery mode...
Kwa mwenye uelewa juu ya matumizi ya hii new feature ya windows 10 phone inayo julikana kama CONTINUUM ni kwa ajil ya kutumia simu kama PC kwa kuunganisha kwenye monitor kisha kutumia kama PC...
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kwa aliye na uelewa juu ya hili jambo namuomba anisaidie maana kila nikiingia mtandaoni kuperuzi mambo nahisi simu kuchemka kiasi kwamba mpka mikono kuhisi...
Habari za kutwa wakuu.
Naomba msaada wa kuelemishwa athari za mitandao ya kijamii katika kupunguza uwezo wa kutunza kumbukumbu wa simu. Mitandao ya kijamii ninayohitaji kujua zaidi ni Whatsapp na...
Habar zenu wote
Naombeni msaada wakujua n kwanini simu yangu aina ya vf 685 kila ninapoiwasha au kitoa lock ili niweze kuitumia inaniandikia kwamba location services disabled!please turn on...
Hi wandugu mara nyingi natumia laptop kuangalia mpira kutoka kwenye baadhi ya website kama vile thefeed2all. eu rojadirector nanyingine nyingi lakini nilipenda kama ningeweza kuangalizia mipira...
Koenigsegg's horizontal roller coasterBy Dan Neil | The Wall Street Journal 12 hours ago
Email
Print
MORE AT THE WALL STREET JOURNAL
» Fit EV: Pricey But Ready for Prime Time
»...
habarini
wataaalam nimepata na tatizo la kufomati Local Disk E wakati naweka WINDOWS mpya Windows 10 ambayo ilikuwa inatumika kuhifadhi Data zangu kwa bahati mbaya.
Je kuna Namna ambayo naweza...
Kuna jamaa alikosea namba akatuma ela/Mpesa kias cha sh 1,700,000 kwenye line yangu then miye fasta nikazitoa.
Sasa jamaa wameblok my line kias kwamba siwezi kutumia huduma ya Mpesa yani kila...
Wakuu wa hili jukwaa poleni na majukumu,jamani kwakua mimi sio expert sana kwenye haya mambo nimeona bora niulize kabla sijachukua maamuzi yoyote ya kununua hii kitu.
Kuna mdau anataka aniuzie CPU...
Najua humu ndani kuna watu ni wataalamu wa magari ama kwa kusomea.. au kwa kutumia tu gari anakuwa na ujuzi nayo.
TUJE KWENYE SWALA LA MSINGI
Kuna mfanyakaz mwenzangu kakopa hela huu mwezi sasa...
Kama heading hapo juu jana nimeletewa simu ya Samsung Galaxy J1 lakini tatizo linalonikumba kila nikiweka line zangu za voda na airtel inaniletea ujumbe wa INVALID IMEI Artel Tz and INVALID IMEI...
AT&T gets ready to test 5G technologies this 2016
AT&T has been working on possible 5G technologies, such as millimeter waves, for years. Now that it's time to get serious, it's teaming up with...
Habarini wana JF.
Nina Laptop aina ya Hp Pavilion g4-2169se, yenye windows 7 64bit ilikuwa inatoa sauti vizuri ila juzi ilikata ghafla wakati ikiwa ina play movie. Imepoteza sauti kwa njia zote...