MSAADA KWENYE SMART TV

chazymseri

Senior Member
Oct 28, 2010
139
28
Hi wandugu mara nyingi natumia laptop kuangalia mpira kutoka kwenye baadhi ya website kama vile thefeed2all. eu rojadirector nanyingine nyingi lakini nilipenda kama ningeweza kuangalizia mipira hii kwenye smart tv LG. lakini kila nikifungua website inakubali lakini inapotaka kuanza kuplay hiyo game inaniambia kuna flash inahitajika kuweza kuplay hivyo inaishia hapo hapo
Kwenye smart tv sina ufahamu ni aina gani ya browser huwa inatumia kwakuwa hawajalekeza au kutoa maelezo possible kuna namna ya kuupdate lakini somo linekuwa gumu naomba msaada kujua jinsi ya kupata hizo flash na kama naweza pia kuinstall addblock
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom