Nawezaje kuifufua simu yangu ya LG G3

Nawezaje kuifufua simu yangu ya LG G3

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,716
Reaction score
1,842
Habar wakuu naomba msaada wenu jinsi ya kuitengeneza simu yangu ya lg g3 ambayo imeharibika kabisaa coz haiwaki hata nikijaribu button combination ili niende kwenye download mode na recovery mode haitaki kwa kifupi ime-hard brick nimejaribu softwares na njia nyingi tu bila mafanikio... Kama kuna mtu anaefahamu solution ya hili tatizo nitafurah kupata msaada wake
 
Mkuu PlayBoyMwema,habari ya wewe?
Simu yako ni Original au ni Clone>
Kama ni Original,tafadhali nitafute nikutatulie tatizo lako. (PM)
 
ulifanya nini kabla tatizo halijaanza? simu inadetect usb? adb ilikuwa on kabla halijaanza hilo tatizo?
 
Habar wakuu naomba msaada wenu jinsi ya kuitengeneza simu yangu ya lg g3 ambayo imeharibika kabisaa coz haiwaki hata nikijaribu button combination ili niende kwenye download mode na recovery mode haitaki kwa kifupi ime-hard brick nimejaribu softwares na njia nyingi tu bila mafanikio... Kama kuna mtu anaefahamu solution ya hili tatizo nitafurah kupata msaada wake
Simu za lg au samsung zina solution mzuri sana.tafuta fundi wa kuflash na awe na box octopus au z3x. Hizo ndio box za kuamsha lg na samsung tu.hakuna njia nyinngine achana na wababaishaji ndugu.
 
si mpenzi wa lg, ila nimeshaflash zaidi ya mara mia simu za samsung kutumia odin. ndio mabox ni mazuri lakini nayo pia yana weakness zake sababu ni pre configured hayana flexibility ya odin.
 
Simu za lg au samsung zina solution mzuri sana.tafuta fundi wa kuflash na awe na box octopus au z3x. Hizo ndio box za kuamsha lg na samsung tu.hakuna njia nyinngine achana na wababaishaji ndugu.
Kwa dar unamfahamu fund gan anaeweza kuniamshia tatizo langu
 
Mkuu hiyo tutorial nilishawahi kuijaribu na ili fail coz simu yangu haiend kwenye fastboot na download mode... Nahis motherboard ya simu imekufa
hata ukiicomand na adb au fastboot haiendi?

kuna software inaitwa minimal adb and fastboot ipo xda search google kama mb 2 tu lakini itakupa uwezo mkubwa zaidi wa kuicomand simu na kupush mafile kama recovery au root ili kupita maeneo uliyokwama
 
Asante ngoja niingie xda niicheki
 
Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
 
Uko wapi mkuu the agent?
 
Back
Top Bottom