Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 803
- 1,284
Wakuu wa hili jukwaa poleni na majukumu,jamani kwakua mimi sio expert sana kwenye haya mambo nimeona bora niulize kabla sijachukua maamuzi yoyote ya kununua hii kitu.
Kuna mdau anataka aniuzie CPU ya DELL kwa tsh 150,000/=,anasema hii bei ni kwa vile tu ana matatizo ila bei halisi eti ni kuanzia tsh 300,000/= ...Specification alizonitajia ni hizi hapa
- Hard disc ni 500GB, RAM ni 2GB, PROCESSOR ni core i3,3.4GHz
Nishaurini wakuu je hii desktop ni nzuri??? na hii bei ya tsh 150,000/= ni sahihi au kanipiga?
N.B: nataka kuinunua hiyo desktop sana sana kwa ajili ya kucheza games , je inafaa kwa games nzito?? nawakilisha.