Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu naomba mnipatie elimu juu ya vitu tajwa hapo juu mara nyingi naviona wakati na download video sasa sijajua jinsi ya kuvitofautisha .
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba msaada wa #Ku_UNLOCK Techno Y3+ iweze kutumia laini zote INTERNET
0 Reactions
2 Replies
615 Views
Kwa wenye uelewa na hii ishu mana juzi nilienda nalo mahali (safari fupi hapa na pale) niliporudi nikalipaki (saa sita ya mchana) lakini jioni (kumi na mbili jioni) nikakuta na mabadiliko haya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nina photocopy machine yangu kila nikiiwasha inaniletea meseji (restart the machine. Call service rep. E000007-0000) sasa nikirestart iko ivyo ivyo
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Wadau mwenye kujua jins ya kujiunga na kifurush cha lisaa cha halotel ahijuze plzz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada natumia laptop dell lakin kila nikiinstall game zinagoma zinasema " window unsupported"
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Habari zenu wakuu, simu yangu tecno H3 inatatizo la kunasanasa keypads zake kiasi ambacho nashindwa kuandika sms na vilevile nikibonyeza backspace inaanika herufi m. sasa sijuwi tatizo lake ni nini.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za Leo Kama ilivyo kawaida ya jukwaa hili ni kusaidiana kutatua na kuelekezana katika katika mambo yote yanayo husu TEHAMA Kama kichwa kisemavyo sijui nini kimetokea ila mpaka sasa...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Beware the Android virus that can WIPE your phone: Experts warn users that malware is being spread by text message Mazar is spread by a harmless-looking link sent via a text message Security...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Apple yaamrishwa kuifungua simu ya muuaji Jaji mmoja katika jimbo la Carlifonia nchini Marekani ameiamrisha kampuni kubwa ya Teknolojia ya Apple kusaidia polisi katika kuchunguza simu ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Why Trakt Is Better Than Kodi Library Integration mkwawa hebu tupe kwa kina dondoo hizo cause lugha Kwetu ni taabu nimeikuta somewhere
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. Hivi kifurushi cha chuo cha vodacom kimefutwa au wamebafili namba za kujiungia mana nimetaka jiunga Leo kupitia *149*02# na kukuta maelezo mapya kabisa.[emoji35]
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Jamani nawaomba msaada natumia simu aina ya ZTE U880E ni adroid version namba 2.3.7 na kuna mahali kwenye seting nikiangalia wameandika mobile netwok type EDGE sasa kiukweli hii simu ipo slow sana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
1cubic meter of LPG is equivalent to how much Metric tonnes.
0 Reactions
0 Replies
590 Views
msaada kujua tofauti zake katika matumzi iPad inaizidi nini Tables?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Linapofikia swala la wizi katika mtandao kila mmoja wetu uongea kadiri anavyoelewa tena baadhi yetu hudiriki hata kutaja baadhi ya njia zinazotumia katika wizi wa mitandao. Hivi majuzi nilikua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
samahani naomba msaada kwa mwenye key za window 10 maaana napata shida kweeeli inaniandikia active your window
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Naomba mnisaidie namna ya kupata H+ katika simu aina ya tecko j5 huwa inaandika 3G tu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The S-400 Triumf, a top-tier anti-aircraft weapon system produced in Russia is an impressive piece of equipment and is an evolution of the S-300 anti-ballistic missile defense system. The S-400 is...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataalam wa magari,naomba kujua kati ya gari hizo ipi nzuri kwenye utumiaji wa mafuta,comfortability barabarani nk. Nazipenda zote ila nafikiria kununua moja wapo. Ushauri wenu utasababisha...
0 Reactions
60 Replies
17K Views
Back
Top Bottom