Androids phones , marsh mallow

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,371
4,847
Habari yenu ninatumaini mu wazima kabisa ningependwa kujuzwa simu aina ya android ambazo ni version mpya ya android yani mashmallow ambazo ziko around 180,000 mpaka 250,000 isipokuwa tekno zisitajwe pia ram iwe GB 1 na above
 
Sin

Sina hakika kama zina exist.. may be used unaweza pata
 
Simu ninazozifahamu ni simu hizi za Android one. Zipo bei ndogo, na zinaendana na specifications zako tatizo sijui kama Bongo zipo maana kwenye pita pita zangu sijaona zikiuzwa labda mwanajf wenzangu anaeza aseme.
 
Back
Top Bottom