Msaada kila ninapotumia internet simu yangu inachemka

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
562
494
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kwa aliye na uelewa juu ya hili jambo namuomba anisaidie maana kila nikiingia mtandaoni kuperuzi mambo nahisi simu kuchemka kiasi kwamba mpka mikono kuhisi kuungua.

Natanguliza shukurani zangu.
 
Ungeweka na aina/model/features ya simu kabisa,kuwarahisia wajuzi wa hayo mambo kukusaidia kwa urahisi
 
hyo simu imeingiwa na virus kwa hyo sasa hao virus wanafanya program sizizo hitajika zijitumiashe hasa hasa unapoingia internet kwa hyo xaxa hyo huawei inahtaj kuiugrade au kwa msaada zaid waweza kuwasiliana na mm kwa namba 0653868632
 
DUH...?
 
Nani kakwambia simu ikipata moto inavirus!! Acha kudanganya watu.
 
Hio inatokana na kuwa unapokyw internet kuna program/apps ambazo nazo zinakonect kwa internet inbackground na wewe huwezi jua so kuna kuwa na over.use of.power na hio ndo inaletea sim ku overheat
Check kama umeruhusu apps kudownload
1. update autpmatic
2. Pata apps onayoweza kukusaidia kukontrol apps gani ziwe na luksa kuaccess internet( I.e Noroot firewall)
 
Asanteee sana
 
Kama uko makini I-root halafu download app inaitwa Greenify itakusaidia sana
 
hyo simu imeingiwa na virus kwa hyo sasa hao virus wanafanya program sizizo hitajika zijitumiashe hasa hasa unapoingia internet kwa hyo xaxa hyo huawei inahtaj kuiugrade au kwa msaada zaid waweza kuwasiliana na mm kwa namba 0653868632
Duuh Sijawahi ona tapeli kama huyu, kuchemka k
 
hyo simu imeingiwa na virus kwa hyo sasa hao virus wanafanya program sizizo hitajika zijitumiashe hasa hasa unapoingia internet kwa hyo xaxa hyo huawei inahtaj kuiugrade au kwa msaada zaid waweza kuwasiliana na mm kwa namba 0653868632
Virus wanahisikaje na heating mkuu? Hapa hata tabura rasa naona unataka kuibia mtu
 
Pole sana. Vumilia kidogo. Bado mda mchache TCRA itazifunga simu zote feki. Nadhani watakuwa wamekusaidia kukuthibitishia kuwa simu yako ni feki hivyo ukanunue origional na kuacha kusumbua mafundi...
 
Download DU Speed Booster itakuonesha matatizo yote kwenye simu yako ikiwemo hilo la simu yako na namna ya kuyaondoa.
 
Hizo program kama du, clean master (task killers) zinaleta mashida sana by the way i dont recommend them its better to have greenify na amplify (xposed) kukontrol background apps na wakelocks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom