Jamani nimekuja kwenye jukwaa kuomba msaada, nimetafuta maduka meng nimekosa. Natafuta wireless keyboard kwa ajili ya ya ipad air. Natafuta aina ya Belkin, ambayo ni km cover pia na keyboard...
Wakuu nataka kununua hii simu jamaa katoka nayo South Africa hivi karibuni nimetoa betry imeandikwa made by Sumsung badala ya kutaja viwanda ya SAMSUNG vya Korea, Vietnam na China. sasa najiuliza...
Wakuu,
Zipo taarifa kuhusu App ya Facebook kwenye hizi smartphone zetu kufyonza chaji kupita kiasi wakati wa matumizi.. Tafiti za wanateknolojia zinaonyesha kwamba App hii ikifutwa huongeza uhai...
Rumor: iPhone 7 Plus to come in 256GB storage option and feature a larger 3,100mAh battery
Posted by Rajesh Pandey on Jan 03, 2016 | 9 Comments
If the latest iPhone 7 Plus rumors are to be...
Kwenye attachment hapo ni c++ language nimeiandika na nimeirun ikanipa ilo umbo ninachojiuliza nataka kuiandika inipe umbo la pembetatu sawa nifanyeje ?
[
Habari wadau,
Kwa yoyote mwenye ujuzi wa simu hasa zile zilizotumika China, nyingi zinakuwa na tatizo la kutoweza kupiga ussd codes kama za mihamala ya simu, au ya benki mfano *150*60#.
Kucheki...
· At least 2 - 3 years of experience as a system engineer.
· Experience or knowledge of Unix/Linux-systems.
· Strong knowledge of TCP/IP networking, application level protocols and...
Hello guys nahitaji battery used ya toshiba satellite L500 kama unayo nicheki PM please, ukitaja bei na mahali uliko mi nipo mbezi dar es salaam.
with regards.
wanajf kuna upepo wa application inayovuma kwa kas kua ina uwezo wa kuksmata mawasiliano ya mpenz wako
je kuna ukweli kwa wake mlioitumia maana ukiwa katika hatua za kuipakua unaombwa pesa je kuna...
Ni swali ninalojiuliza maranyingi kama linavyojieleza apo juu. Ni kivip mods wanapata pesa na mmiliki kiujumla. Pia nakosa ufafanuzi jinsi waanzilishi wa Mobile application wanapataje faida...
Ni rahisi kujifunza kutengeneza applications za android.
Ikiwa utaweka nia na ku-dedicate muda wako kujifunza na kufikiri ni applications gani waweza tengeneza na kufanikisha.
Waweza jikuta...
Jamii 1.
Ni kweli au ndo habari za mitandao na utapeli Nina maana afazali ya utapeli sasa huu upateli.
Je ni kweli waweza pata pesa kupitia blogs, websites nakadhalika.Kupata pesa au mkwanjika...
Natumia Application ya JF kwenye Samsung Galaxy J7. Lakini Nikiingia Kwenye Timeline.. subscribed.. na Participated Thread za Hizo Sections Haziload na Zinachukua Muda Sana.
Ila Nikiingia Kwenye...
Habarini
Kuna simu nililikuwa natumia katika bonyeza bonyeza sikujua wapi nimefika lakini niliona tuu kuwa picha zangu zitakuwa zinahifadhiwa kwenye email yangu ambayo inatumika katika simu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.