Msaada kwahii simu

el swaga

Member
Nov 7, 2015
14
1
Habar zenu wote
Naombeni msaada wakujua n kwanini simu yangu aina ya vf 685 kila ninapoiwasha au kitoa lock ili niweze kuitumia inaniandikia kwamba location services disabled!please turn on location services in your devices settings.....lakini kwny location nimeshaweka ON ila tatizo lipo vile vile..naombeni msaada wenu wakuu.
 
huna widget ya hali ya hewa? au kitu chochote kinachotumia location? hicho kitu ukiwasha simu ndio kinataka location.

kama umeeka location on na still haifanyi kazi pengine labda gps ni mbovu
 
Back
Top Bottom