WINDOWS PHONE 10.... jinsi ya kutumia CONTINUUM

kambona jr

Member
Feb 14, 2016
10
0
Kwa mwenye uelewa juu ya matumizi ya hii new feature ya windows 10 phone inayo julikana kama CONTINUUM ni kwa ajil ya kutumia simu kama PC kwa kuunganisha kwenye monitor kisha kutumia kama PC..... Msaada kwa mwenye kujua zaidi khs hii feature; jinsi kuunganisha, kutumia na hardware znazohtajka na upatikanaji wake kwa hapa dar~es~salaam.... Msaada tafadhali
 
windows.microsoft.com/en-us/windows-10/getstarted-continuum-mobile
xaw hyo nmeangalia bro ila inahtajka baadh ya hardware ili kufanikisha km kna wire wa kuconect kutoka kwenye cmu kwenda HDMI upatkanaje uko vp kwa hapa dar?... 10x kw hyo link
 
tuanze kwanza na misconception. kazi ya dock ni kukupa extra port haiongezi uwezo wowote ule, kama una njia nyengine za kuconect hakuna haja na dock. hivyo naweza kusema continuum haihitaji hardware just monitor au tv yenye miracast inatosha.

pia continumm inrun universal app tu na hutarun legacy software za x86. kwa lugha rahisi software tulizozizoea kama za adobe photoshop, firefox, chrome etc hutaweza kuzirun

tuanze na utakavyohitaji.
1. mouse na keyboard za bluetooth
2. monitor au tv yenye miracast

utaconect miracast then tumia continuum.

kama unataka real pc power subiria simu za x86 zenye processor ya intel.
 
pa1 xana nmekupata chief mkwawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom