Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 797
- 2,110
Najua humu ndani kuna watu ni wataalamu wa magari ama kwa kusomea.. au kwa kutumia tu gari anakuwa na ujuzi nayo.
TUJE KWENYE SWALA LA MSINGI
Kuna mfanyakaz mwenzangu kakopa hela huu mwezi sasa ili anunue gari... yeye alitaka kununa gari MISTUBISH PAJERO... sasa kabla hata hajaanza process za kuagiza akaomba ushauri kwa rafiki yake kuhusu hizo gari.. Alichoambiwa akakata tamaa tangu siku hiyo... aliambiwa hz gar ni
1. Ngumu kupata spear
2. Spea zake ni za gharama mno
3. Zinasumbua sana... yani ukianza kulitumia ni km kuandikisha mkataba na fundi magar kwan mara kwa mara itakupasa kwenda gereji.
inaombwa ushauri kwa wale wajuzi wa magari hasa hili gari husika... ni. kweli?