Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Fungua hii link, ASUSTeK Computer Inc. -Support- Driver & Tools - ASUS ZenFone 5 Ikishafunguka, bonyeza kwenye link ya firmware, soma vizuri maelezo kisha chagua firmware inayoendana na simu yako.
1 Reactions
4 Replies
964 Views
Nina simu nataka kuiuza ni Samsung s4 nililiset sasa sahizi nikizima au kuwasha inaandika android badala ya Samsung niifanyeje ili irudi kama zamani I??
1 Reactions
2 Replies
717 Views
nina HUAWEI Y530 ina tatizo la kustuck stuck,sana,hii inasababishwa na nini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuelekezwa km kuna namna ya ku unlock vodafone v785 dogo alichezea.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
mwenye kuelewa naomba anisaidie kuelewa muda ambao facebook hutumia kusolve tatizo ambalo nimeripoti. pia naomba kueleweshwa namna ya kureset account ya Facebook ambayo nimesahau email...
1 Reactions
2 Replies
875 Views
Heshima kwenu wadau wa jukwaa hili tukufu, Ingawa mimi si mgeni humu ila nina muda kidogo sijaingia zaidi ya kupita tu japo nashangaa hawa jamaa wamebadilisha muonekano mzima wa JF tofauti na...
2 Reactions
25 Replies
16K Views
Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7 Six months after launch, Windows 10 has finally leapfrogged over both XP and 8.1 to become the second most popular desktop operating...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
kuna ads ya du battery ina pop up kila mara data ikiwa on, inanikera sana kama kuna mtu mwenye utaalamu wa kuliondoa hili tatizo anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani natumia google chrome na mozilla firefox kwenye pc ya hp elitebook8460p ambacho sitaki kukiona ninapofungua hizi browser ni yale ma popular sites nataka nikute search engine ya google tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau nimelipia hapa king'amuzi za zuku mwanzo zilikubali lakini kwa sasa kila chanel nikifungua inaniandikia no signal, hvyo naombeni msaada wadau
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, band hizi za 4G naweza kutumia mtandao gani hapa Tanzania? DD-LTE: B38(2600MHz) / B39(1900MHz) / B40(2300MHz) / B41(2500MHz)FDD-LTE: B1(2100MHz) / B3(1800MHz).
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Habari za wanajukwaa wote Naombeni msaada simu yangu kila nikiwasha Bluetooth inaji switch off yenyewe(yaani Bluetooth inajizma)
0 Reactions
1 Replies
619 Views
A tanzania based web for us Support is needed to get futher techedutanzania.wordpress.com
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Habari tano za teknolojia ambazo hazifai kukupita Teknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika. Hapa, kuna makala tano kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna watu wameshakutana na hii error katika windows 10.? " One or more network protocol are missing on this computer " Uliisolve vipi.? Maana inakera. Nimejaribu fuata ushauri wa ku-reset...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
what is exactly difference between zip() and map() in python it seems to brig the same answer when u execute block one and block two codes ? some one can tell me in simple way so that i can...
1 Reactions
2 Replies
824 Views
The Samsung Galaxy S7 Edge release date has yet to be announced ahead of Mobile World Congress 2016 this year, the annual smartphone and portable device conference held in Barcelona, Spain (Feb...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Ufaham Wangu Najua Blackbery Walikuwa Wakiongoza Kwa Mda Mrefu Katik Security Kwa Sasa Tuna Aminishwa Na I Phone Kweny I Cloud Kuwa Ndo Ina Ubora Zaid Katka Ulnzi Je Ni Kwel Kwamb Blackbry...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Katika video hii nimekuonyesha custom rom ya android v 5.0 ambayo inapendezesha sim na kuifanya ffective. Naombeni support wakuu
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau ni app gani nzuri ya playstore itakayoniwezesha kuandika kwenye MS word na kuhamisha faili kwenye pc na kutokea kama ilivyo
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom