Nime fomati Local Disk E wakati naweka WINDOWS bahati Mbaya Je naweza rudisha Data zangu

CompaQ

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
281
134
habarini
wataaalam nimepata na tatizo la kufomati Local Disk E wakati naweka WINDOWS mpya Windows 10 ambayo ilikuwa inatumika kuhifadhi Data zangu kwa bahati mbaya.


Je kuna Namna ambayo naweza fanya kurudisha Data zangu hizo?
msaada nimechanganyikiwa nime fomati data za muhimu sana.
 
Pc ya hp elite book 8460p imegoma kuwaka yani display haionyeshi chochote ila mothebody inawaka
 
Umefanya format ya aina gani? Na kisha ukafanya nini na hiyo drive? Acha kutumia hiyo disk kwa sasa kupunguza uwezekano wa kuzipoteza hizo data zaidi.
 
Umefanya format ya aina gani? Na kisha ukafanya nini na hiyo drive? Acha kutumia hiyo disk kwa sasa kupunguza uwezekano wa kuzipoteza hizo data zaidi.
Nilikiwa naweka windows 10 kwenye Pc ndipo nilipo fomati ili kuruhusu kuweka windows hiyo.

sijafanya chochote baada ya hali hiyo kutokea na hii drive mpaka sasa.

hivyo nifanye vipi kuna uwezekano wa kurudisha niwaobe wataalam?
 
Quick format au full format? Anyway jaribu hiyo software uone kama kuna kitu.
 
Mkuu nipo serious kwa kwa hilo nianzie wapi kwa wataalama gani nifikie wakufanya masuala kama hayo?
Mkuu mie huwa natumia Easus Data Recovery wizard ni nzuri huwa nina uhakika wa kupata data zangu kwa 90% ila huwa hazina majina yanakuwa yamepangwa kwenye format i.e kama ni pdf utazikuta kwenye Raw files folder la portable pdf hivyo hivyo na format nyingine ila cha muhimu kuanzia sasa usiweka data kwenye hiyo computer maana data zitakuwa overwritten na kufanya upatikanaji wa data zako kuwa mgumu zaidi
 
Back
Top Bottom