Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Kama heading hapo juu jana nimeletewa simu ya Samsung Galaxy J1 lakini tatizo linalonikumba kila nikiweka line zangu za voda na airtel inaniletea ujumbe wa INVALID IMEI Artel Tz and INVALID IMEI Vodacom tanzania lakini majina na sms zikizoko kwenye hizo line zinasoma kama kawaida, nikijaribu kuangalia salio au kumpigia mtu inaleta ujumbe wa mobile network not available
Lakini nilipojaribu kutumia line yangu ya halotel inapiga kazi kama kawaida ndo ninayotumia mpaka kupostia thread hii ..
Naombeni msaada wanajamvi niganyeje nisolve hii issue.
NB line za voda na artel nikiweka kwenye simu nyingine zinapiga kazi kama kawaida