Msaada:jinsi ya kutumia whatsap account mbili kwenye simu 1

kaone

Member
Dec 4, 2014
39
10
Tafadhali wadau mwenye kufaham mamma ya kutumia/ kuunga whatsap account 2 katika simu 1.natumia tecno c5
 
Poa wakuu hyo co lazma uwe na cmu za line mbili.. mie natumia cmu ambayo not dual lakin natumia 2 whatsapp . Jioneen hapa kwenye image
0abd912fd922e1deb7b62418653ea016.jpg
 
Cuna whatsapp tayar.. kuna link hapo juu nimewawekea ingia kwenye hyo link then download OM whatsapp.. ikishakuwa complete install then ingiza namba watakutumia code then ingiza code halaf ur free to go
 
na mimi mbona niki update whatsap inagoma na network ipo vizuri.naombeni msaada.asante
 
Cuna whatsapp tayar.. kuna link hapo juu nimewawekea ingia kwenye hyo link then download OM whatsapp.. ikishakuwa complete install then ingiza namba watakutumia code then ingiza code halaf ur free to go
Kwangu inagoma ku download mkuu
 
Na je unaweza kutumia namba moja kuwasiliana kwa whatsapp kwenye simu mbili tofauti? Mfano nikatumia namba 0754 000 000 kwenye whatsapp ya simu ya kwanza na nikatumia namba hiyo hiyo kwenye whatsapp ya simu ya pili na pengine kwa simu ya tatu na zaidi?
 
Hiyo haiwezekani Mkuu,Application ya WhatsApp ukishaitumia kwenye Simu "Handset" moja watakutumia verification code,sasa ukishaingiza hiyo code ndio unaweza kutumia whatsApp,yaani inakupa access,so,ukitaka kufungua WhatsApp kwa hiyohiyo number ila in different handset haiwezi kukubali..kwa nijuavyo mimi.
 
Poa wakuu hyo co lazma uwe na cmu za line mbili.. mie natumia cmu ambayo not dual lakin natumia 2 whatsapp . Jioneen hapa kwenye image
0abd912fd922e1deb7b62418653ea016.jpg
Unatumia line mbili kwenye hiyo simu!?
Mkuu WhatsApp haiendani na line ya Simu,muhimu uwe na number ya simu ambayo iko active ili watakapo kutumia sms ya verification code uweze kuiona code wakati wa ku register,

unaweza kuweka hata WhatsApp 5 na kuendelea kwenye Simu moja! kama unatumia wi-fi hata ukiitoa hiyo line ndani ya simu WhatsApp zitafanya kazi tu,

kuna Application nyingi za WhatsApp kama vile OGWhatsApp,WhatsApp+2 na nyinginezo,ila hizo sio WhatsApp original na mmiliki wa whatsApp original huwa na uwezo wa kugundua kuwa unatumia WhatsApp zaidi ya 1 kwenye simu 1 na huzipiga ban hizo WhatsApp zingine kama itatokea kukunotice.
 
Back
Top Bottom