Namna ya ku unlock Mpesa.

KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
824
1,032
Kuna jamaa alikosea namba akatuma ela/Mpesa kias cha sh 1,700,000 kwenye line yangu then miye fasta nikazitoa.
Sasa jamaa wameblok my line kias kwamba siwezi kutumia huduma ya Mpesa yani kila nikiweka ela Inaingia bt nikiuliza salio naambiwa Account yako ya Mpesa imefungwa.
NAOMBENI UJANJA WAKU UNLOCK HII KITU.
 
ni-pm nikupe maujanja ila nachukua 90% ya pesa yote..
 
Kuna jamaa alikosea namba akatuma ela/Mpesa kias cha sh 1,700,000 kwenye line yangu then miye fasta nikazitoa.
Sasa jamaa wameblok my line kias kwamba siwezi kutumia huduma ya Mpesa yani kila nikiweka ela Inaingia bt nikiuliza salio naambiwa Account yako ya Mpesa imefungwa.
NAOMBENI UJANJA WAKU UNLOCK HII KITU.
utakuja kufa kisa vitu vodogo, rudisha pesa yawatu!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom