Wadau kichwa cha habari hapo juu chajieleza natumia Samsung grand prime duos anaejua tafadhali anisaidie nimefungua account cha ajabu play store haifungui
tatizo la kutofunguka kwa playstore huwa linashabishwa na network kuwa ndogo kwa mfano japokuwa inaweza ikawa inapandisha 3g h au h+ angalia ile mishale miwili ya ambayo inakuwa pemben au chin ya 3g h au h+ mshale ni mshale mmoja 2 ambao utakuwa unaonesha network ipo lakn ule unaoingiza network una huonyeshe dalili zozote au kama ukionyesha basi mara chache xana kwa hyo tuna kwenye kwamba tatizo linakuja kwenye network ya simu kama ni helpful please jibu kwa msaada zaid
check profile yako, yawezekana internet haijawezeshwa nenda kwa network then network settings utengeneze profile na uchague Vodacom internet au airtel internet au tigo int.... nk set kuwa default mambo yatakuwa sawa yawezekana unatumia wap setting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.