Msaada wa Adobe Photoshop 7

Bosco Henry

Member
Dec 8, 2011
23
1
Heri ya mwaka mpya wadau wa JF. Naomba msaada wa jinsi ya kutumia ADOBE PHOTOSHOP kutengeneza picha poa.
 
kufundishwa software kwa maandishi ni vigumu nafkiri unafahamu hilo.labda uonane na mtu face to face akuandalie darasa,vinginevyo search google,adobe photoshop tutorials, au adobe video tutorials uzidownload,uwe unasoma na kupractice mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Heri ya mwaka mpya wadau wa JF. Naomba msaada wa jinsi ya kutumia ADOBE PHOTOSHOP kutengeneza picha poa.

Adobe sasa hivi wako kwenye version za CS5.5 Adope Photoshop 7 itakuwa ya zamani kiodgo na training yake itakuw imepitwa na wakati.

Tafuata mtandaoni na Training video za lynda.com kuhusu photoshop zipo za level mbali mbali kulingana na ufahamau wako begginer au advanced. Kuna video training zaidi ya 122 za photoshop . Ninimetumia mara kadhaa hizo kujjifunza ABC na vitu vichache katika ulimwengu wa graphics.

So nenda hapa lynda .com Angalia tiitle ya video niayoendana na mahitaji yako. Kisha kama una mkwanja agiza kama huna Itafute kwe ye torreent . kwenye torrrent kama Piratebay p gharama itakuwa ni bandwidth tu.
 
Thanks
 
Back
Top Bottom