Pole sana mkuu, mie sina 'idea' ila ntajifunza humu kwani JF inao wataalam.Wadau nisaidieni jinsi ya kufuta majina kwenye Windows phone (Nokia XL) namba ambazo ziko kwa WhatsApp zinasoma read only, nashindwa kufuta wala ku edit, natanguliza shukrani kwenu.