MALISA92
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 148
- 57
Habarini wana JF.
Nina Laptop aina ya Hp Pavilion g4-2169se, yenye windows 7 64bit ilikuwa inatoa sauti vizuri ila juzi ilikata ghafla wakati ikiwa ina play movie. Imepoteza sauti kwa njia zote yaani kwa upande wa speaker zake za ndani na pia hata kwa Earphone haitoi sauti.
Nimeshajaribu kutoa driver iliyokuwepo na kuweka mpya (updated) lakini bado tatizo lipo pale pale. Pia nimeitoa window na kuweka upya pamoja na drivers zoote lakini shida ipo pale pale.
Lakini ile icon inayo onyesha alama ya speaker inaonyesha kuwa speaker zinafanya kazi vzuri angalikwamba hakuna kitu.
Nombeni msaada wenu wakuu kama kuna mwenye ujuzi wa jambo hili. ASANTE.