Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

KAMPUNI ya simu ya Halotel imetoa awamu ya kwanza simu 25 za mkononi kwa wenye ulemavu wa ngozi jijini Arusha kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano pindi watakapovamiwa na watu wanaowawinda ili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii kitu kuiweka kwa mtu inatakiwa uwe na kiasi gani cha hela je utapata bando la internet bure au unalipia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huku mtandao ukitawaliwa na picha chungu nzima ,mtandao wa Facebook unazindua mbinu ambayo inaweza kuzisoma picha na kuwaelezea watu walio na ulemavu wa macho kile kilichomo katika picha hiyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ningependa kujulishwa namna bora ya kufunga vifaa vya solar kwa matumizi ya kawaida(Taa 1, Radio 1, Mashine 1 ya kunyolea nywele, Simu1). Nina Solar Panel ya 40WATTS, Inverter ya...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Wakuu kwanza habari zenu...Google play store yangu niki-dowload app inadowload ikifika asilimia 90 au 98% inastop (yani inaganda ivyo ivyo) then ata ile notification ya kuonyesha kwamba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa kinyojieleza nataka install sms hide kama vile shady contact lakini kila niweka hiyo app ,napewa ujumbe kuwa app is not allowed nifanyaje ili niweke hiyo app!
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada slow Charging laptop Msaada slow Charging laptop
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Naomba msaada jamani laptop yangu inachaj slow sana yaani naweza kuwa naitumia hata masaa matatu mfulululizo lakini bado haijai....natumia dell vostro 1500
0 Reactions
8 Replies
1K Views
32/64bit operating system
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu yangu ya tecno M9 imekufa hivyo natafuta mtu mwenye saketi aniuzie ili niweze kubadilisha.
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Kwa mnaotumia apps za kuacha voice mail je app ipi ni nzuri?? Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
996 Views
kama nilivoeleza hapo juu. kifupi hiyo cm lg keyboard imestack so nashindwa kuweka password ili niingie. lakini ukipiga emergence keybody inafanya kazi bila shida. nimejaribu hard reset inawaka...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau huku niliko internet ya tigo inasoma h+ na wakati huo huo unaweza kua na bundle la mb650 na setting ya internet ktk simu wamekutumia wenyewe lakini inashindwa kufungua application yoyote ktk...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa la teknolojia, Nataka kufahamishwa kama kuna uwezekano wa kuangalia picha/video inayoonekana ktk simu yangu kwa kutumia screen ya laptop. Nadhani nimeeleweka.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuna watu wanapiga sana pesa kupitia kuwatengenezea watu cartoon photos unakuta mtu anampiga mwenzie hata elfu 3000 kwa picha moja mtu anatumiwa picha na pesa ndo anamtengenezea cartoon photo Hii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau kuna website moja ya marekan nilikuwa najaribu Ku sign up lakini sikufanikiwa kwa kuwa ni lazima uwe ndani ya usa .sasa naomben mnijuze hakuna trick ya kufanya nionekane niko usa ili niweze...
0 Reactions
3 Replies
612 Views
Nahitaji PBX, moderate pricing tafadhali. Kama unauza vifaa vya mawasiliano tuwasiliane tafadhali!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa maelekezo namna ya kutatua hilo tatizo la drivers kwenye pc ( dell latitude d630 ) Chief-Mkwawa Mwl.RCT kcamp
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Msaada jinsi ya ku-root Samsung j1
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, nahitaji msaada kutoka kwa mwenye laptop mbovu aina ya hp inch 14 or above at a throw away price!! kama unayo njoo pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom