High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,131
Hii kitu kuiweka kwa mtu inatakiwa uwe na kiasi gani cha hela je utapata bando la internet bure au unalipia
wanalipia kwa mwezi mkuu hio ni aina ya broadband inaitwa satelite internet. bei itategemea na provider wako ila kiafrica ni ghali wenzetu wa ulaya na America ni rahisi.Naiona sana watu wanaiweka
CHIEF MKWAWA
Asantewanalipia kwa mwezi mkuu hio ni aina ya broadband inaitwa satelite internet. bei itategemea na provider wako ila kiafrica ni ghali wenzetu wa ulaya na America ni rahisi.
nimesoma baadhi ya article wanasema satelite dish yoyote unaweza tumia kupata internet bure ila inakuwa ni download tu hakuna upload hivyo huwezi tumia, sijajua kama ukitafuta internet nyengine ukaziunganisha inakuwaje.