Naomba msaada jamani laptop yangu inachaj slow sana yaani naweza kuwa naitumia hata masaa matatu mfulululizo lakini bado haijai....natumia dell vostro 1500
Chaja ni original imekuja na pc yake.... Tatizo limeanza kama wiki tatu zilizopita
Inajaa kwa muda gani na inakaaje na chaji?Halafu nikiwa nimeizima nikichaj inajaa kabisa
Kwenye cm za nokia kuna program inaitwa flash message yaan ukim2mia m2 sms inafutka baada ya yy kuisoma je kwny android 2naweza ipata hyo program? Msaada